Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu upo? karibu sana kwenye sikukuu yetu hapa jukwaani leo.
Asante mkuu nipo nasherehekea ushindi,na imani ligi ndo imefikia patamu. Huyu mskotishi (Coach wa Birmingham fc) si wakumuamini sana kama Bruce wa sunderland,hupenda sana kuuza mechi kwa baba yao Sir Alex wakidhani atawachia u coach Man u, lakini nina imani Birmingham wakikaza kesho msimamo wa ligi utakuwa mtamu sana.
 
Hongera zenu Arsenil, you were the better team tonight and deserve the win.
Tumejaa tele mkuu. Hongera zenu kwanza kwa ushindi, we played like shit....but don't count us out of it, though it gonna be tough.

66025001_blue.jpg

Shukran mkuu, hiyo ilikuwa ni zawadi ya Xmas toka kwa Arsene Wenger kwenda kwa Acheni Lote na Emenalo!
 
66025001_blue.jpg

Shukran mkuu, hiyo ilikuwa ni zawadi ya Xmas toka kwa Arsene Wenger kwenda kwa Acheni Lote na Emenalo!
Karibu sana mkuu,ushindi huu mkubwa bila wewe kutoa mchango wako usingekamilika vizuri.Mie mpaka nimeenda kuzivamia bia zilizobaki za xmass lol.
 
Karibu sana mkuu,ushindi huu mkubwa bila wewe kutoa mchango wako usingekamilika vizuri.Mie mpaka nimeenda kuzivamia bia zilizobaki za xmass lol.

images

...ha ha haaa!,...endelea na sikukuu kaka. Bundi bado analia kambini kwao hawa!
 
arsenal 3,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,chelsea 1,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kikosi imara hongera wenger
 
mlango wa jamvini niliouona na hodi nikapiga ila mlango wa hapa arsenal nilipata shida kuuona nimefanikiwa kuuona asubuhi hii......mimi ni mwenzenu waungwana na hivi ndo naingia rasmi....EPL arsenal......SERIE A...juventus
 
KIna Hasanali, Kwasa Wacha, Wenge Musica, Richadi, Anofelesi, Uongo na GT na wenginewe... Hongereni sana. Hakuna ubishi mmetufunda na kutufunga hands down!
 
Hehhe ushindi wa leo umewatoa watu kama kweli na mtazamaji pangoni... Kwema lakini kwel? Fidel dawa ya Nasir ni Rafael/Fletcher... tarehe 5 mtoe draw na Citeh ili mpunguzane speed sasa.

sio pangoni kamanda mimi mbona nakuwepo fuatilia comment uone mechi ya man u.

ila sometime unajua tunakwenda "uwanjani" (bar /pub)ndo maana hatuonekani .si unajua raha ya mechi kuangaliawengi

Hata hii ya chelsea kipindi cha kwaza nilikuwa "uwanjani" sema kuogopa roba za mbao ndo nikarudi gheto mapema teh teh
 
Djorou alikosea badala ya kwenda kwenye dressing room ya Arsenal akaenda ya Chelsea; kisa anamkaba Droga.

That's what I call defending. Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Why BBC huwa wanachelewa sana Ku update TABLE on Arsenal wins??? Haters?? Ila chunguza Man u au Chlsea wanaposhinda huwa ni Live Updates.......

Inashangaza hata vigazeti vya nje ya Ulaya (ikiwamo Tanzania) vina tabia hiyo. Imebidi nije JF kupata matokeo lakini ikiwa Watani basi with Capital letters.
 
Hata katika mechi ya leo we were the underdogs but we prevailed...kwa hiyo usishange kama tukiwasambaratisha wale BARCA. Kinachohitajika ni upangaji mzuri wa team, to play as a team and determination to win.

Hii mechi itachezwa February, ni mapema mno kujua nini kitatokea, kuna mambo mengi between sasa na February, e.g kuna winter signings mwezi ujao n.k.

Tuna respect kubwa sana kwa Arsenal kwa vile Arsenal and Barca are among few teams that play football where it belongs(ON THE FLOOR) and rarely sky it high. Tunajua Samir Nasri atatupa wakati mgumu sana, Walcot pia. So ni suala la kuomba mambo yawe mazuri kwa pande zote, kusiwepo majeruhi kwa pande zote ili tushuhudie hizi timu zikitupatia soka tunayoitaka. Heshima kwenu wandugu!
 
It was a Best Night 4 us..................
 
Last edited by a moderator:
wacha1 hongereni sasa naona mnaelekea kukua, nailaani sana barafu :hungry:
concept_warthogs_sm.jpg

...ehhh? Kumbe pensioners wanasumbuliwa na ngiri kipindi cha kipupwe?
ha ha ha!
 
sio pangoni kamanda mimi mbona nakuwepo fuatilia comment uone mechi ya man u.

ila sometime unajua tunakwenda "uwanjani" (bar /pub)ndo maana hatuonekani .si unajua raha ya mechi kuangaliawengi

Hata hii ya chelsea kipindi cha kwaza nilikuwa "uwanjani" sema kuogopa roba za mbao ndo nikarudi gheto mapema teh teh
Hehehe hamna noma mtani si unajua tunachangamsha baraza, ila Kweli na Radical walikuwa wamepotea.Mmeona Man City wanaongoza ligi? yani ni kelele hapa mjini sasa.
 
Hehehe hamna noma mtani si unajua tunachangamsha baraza, ila Kweli na Radical walikuwa wamepotea.Mmeona Man City wanaongoza ligi? yani ni kelele hapa mjini sasa.
Nahisi kama hawajamaa watafanya vizuri msimu huu ingawa sioni watu wengi kuwapa nafasi, kuna kila muelekeo wa 4 bora kwa M City.
 
Hongereni sana Ze Gunners wenzangu....Hope leo vijana wataiendeleza furaha yetu.............Pamojah
 
Back
Top Bottom