Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Salama wakuu !! naombeni website nami ni enjoy game? kwani nimejaribu kila web ninazozijua zinakatakata sana.
 
Nashukuruni wakuu, Tuombe dua ushindi wa leo muhimu tena kwa magoli zaidi ya Matano ili tukae kileleni.
 
Nashukuruni wakuu, Tuombe dua ushindi wa leo muhimu tena kwa magoli zaidi ya Matano ili tukae kileleni.
hilo linawezekana na ndio maana narudia kuwaaambia wale ambao wanafikiri Arsenal itaendelea kuwa ile ile ya misimu iliyopita wanakosea, tuna uwezo wa kubeba hata vikombe 3 msimu huu
 
Haya sasa............Ndege keshapperuka huyo.............yuleeeeeeeeeeeeee..........................................lol
 
Back
Top Bottom