Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Hehehehe kabla ya mchezo wa leo record za nyuma kati ya Arsenal na Chelsea zilikuwa zinasemaje vile? With determination anything is possible under the sun
hahahaha mkuu sio kwa Barca
Barca bana hata Wenger mwenyewe akiwakumbuka tu tumbo linafuluga.
Hapa tunajifariji tu lakini mziki wa Barca sasa hivi ni mukubwa