Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Masanilo,peasant,rev kishoka na wengine woteeeeee wa darajani njoooni mtupe heshima yetu hapa.

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee point tatu muhimu sanaaaaaaaaa.

Ngoja nikwachungulie huko kwenye kambi yao inawezekana hawana nguvu ya kuujikongoja huku .
 
Duh yaani sina la kusema, ushindi wa leo ni muhimu sana zaidi katika kutujenga imani na motisha, YES WE CAN!! muhimu kutokaa mbali na Man Utd kwani bado watakuja Emirates na tutalipiza kisasi, mwaka wetu huu.
 
Wakuu tuna mechi na Wigan Jumatano na Jumamosi tunacheza na Birmingham kabla ya kuwakaribisha Man City uwanja wa Emirates tarehe 5 January 2010.

Ni mechi muhimu pia na ukizingatia kwamba mechi nyingi zitakuwa za nyumbani na tumekwishacheza na timu kubwa.
 
Hawa Chelsea hata kule kwenye Thread yao Hawapo....Huu sio Ushabiki mzuri...Mbona sisi Huwa tupo hapa kwenye raaha na Shida?? Wao wanataka Raha tu....wakipata kashida kidogo hawacomment chochote.....Kwa style hii ushabiki Unakua haunogi....koz inakua ni sisi kwa sisi....waje hapa tupashane habari za Bao 3 na point 3...Next game wanachza na Bolton, na wakipigwa tu....Bolton wanaenda Above them......Itakua BYE BYE ya Carlo Ancelloti.......
 
Hongera zenu Arsenil, you were the better team tonight and deserve the win.
 
Why BBC huwa wanachelewa sana Ku update TABLE on Arsenal wins??? Haters?? Ila chunguza Man u au Chlsea wanaposhinda huwa ni Live Updates.......

Mbona unajihisi sana? Acha fikra za kufikiri unaonewa kila wakati, ukirefresh page inakupa live updates.
 
Hawa Chelsea hata kule kwenye Thread yao Hawapo....Huu sio Ushabiki mzuri...Mbona sisi Huwa tupo hapa kwenye raaha na Shida?? Wao wanataka Raha tu....wakipata kashida kidogo hawacomment chochote.....Kwa style hii ushabiki Unakua haunogi....koz inakua ni sisi kwa sisi....waje hapa tupashane habari za Bao 3 na point 3...Next game wanachza na Bolton, na wakipigwa tu....Bolton wanaenda Above them......Itakua BYE BYE ya Carlo Ancelloti.......

Mbona tupo mkuu, au unachagua post za kusoma??!!
 
Labda watakuja baada ya donge kupungua maana leo walishazitia 3 points kibindoni kwa kujua sisi ni uchochoro wao. Hawakujua na sisi tulikuwa na mpango mwingine. Congrats AW! this is a big morale booster for the remaining games

Tumejaa tele mkuu. Hongera zenu kwanza kwa ushindi, we played like shit....but don't count us out of it, though it gonna be tough.
 
Mbona tupo mkuu, au unachagua post za kusoma??!!

Umekuja soon Ndg yangu..na post yako uliyotuma ni Hii "Duuh! Leo tumecheza hovyo sana. Hongera zenu Arsenil, you deserve the win." then ukaongeza hii "Sijui kwanini wachezaji wetu wamepotezamipira kiasi hicho, yaani hata body language yao inaonyesha kama hawako uwanjani vile. Nasuburi hizo kelele za fat Arses hapa jukwaani sasa." sasa rudi kwenye thread yenu angalia post za mwanzo kabla ya hizi zako kaka....HAHAHAHAHAAAA ila am HAPPY UPO at least 4 now....
 
Baada Ya hapo Nianze kwa salam "MAMBO PEASANT?" hope u wont mind to answer me right.................................
 
Tumejaa tele mkuu. Hongera zenu kwanza kwa ushindi, we played like shit....but don't count us out of it, though it gonna be tough.

Kutoka kwenye Thread ya Chelsea........

There are currently 11 users browsing this thread. (4 members and 7 guests)
Questt Peasant Mtazamaji Priga

Hapo nitoe mimi......So mnabaki only three Members.....Ndiyo tele hii??????

Na hii ya ARsenal Je???

There are currently 30 users browsing this thread. (15 members and 15 guests)
Questt mzozaji Hey Kweli Bonge Kibunango Mahesabu Ng'wanza Madaso Richard Baba Mkubwa Arsene Wenger+ Jakathesi. Eqlypz Manda Mokoyo
 
Good game to watch..hongereni Arsenal. U got lucky and capitalise on two mistakes ..that was ur escape route.
 
Baada Ya hapo Nianze kwa salam "MAMBO PEASANT?" hope u wont mind to answer me right.................................

Niko poa lakini si unajua tena ukipoteza mechi muhimu kama hii unakuwa down a bit, nafikiri hata ungekuwa wewe ungekuwa unasikitika kwa kumpoteza mteja wako ulizoea kujibebea point unavyotaka....lol
 
Wakuu usiku mwema tena mnono.

article-0-0C973884000005DC-889_634x314.jpg

Kiungo Cesc Fabregas akifunga goli la pili.

article-0-0C973AA3000005DC-619_634x333.jpg

Kiungo wa Arsenal Theo Walcott akimalizia goli la tatu na la ushindi.

Alex_Song_1793317c.jpg

Alex Song akishangilia goli la kwanza.

Alex_Song-2_1793319c.jpg

Song akishangilia na Gael Clichy na Jack Wilshere

Alex_Song-3_1793321c.jpg

Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza mwenzao Alex Song ambae kwa ushirikiano wake na Jack Wilshere na Cesc Fabregas waliweza kuifungua ngome imara ya Chelsea.

Fabregas-Walcott_1793323c.jpg

Cesc Fabregas akishangilia na Theo Walcott.

Theo_Walcott_1793325c.jpg

Walcott akiwasha kibao cha tatu.

Theo_Walcott-2_1793327c.jpg

Theo Walcott leo alifanya kazi iliomshinda Andrei Arshavin.
 
Kutoka kwenye Thread ya Chelsea........

There are currently 11 users browsing this thread. (4 members and 7 guests)
Questt Peasant Mtazamaji Priga

Hapo nitoe mimi......So mnabaki only three Members.....Ndiyo tele hii??????

Na hii ya ARsenal Je???

There are currently 30 users browsing this thread. (15 members and 15 guests)
Questt mzozaji Hey Kweli Bonge Kibunango Mahesabu Ng'wanza Madaso Richard Baba Mkubwa Arsene Wenger+ Jakathesi. Eqlypz Manda Mokoyo

Kwani tele maana yake nini? Kuna idadi yoyote inayoashiria "tele"?! Hata kama tuko watatu, unaweza kuniambia idadi ya washabiki wa Chelsea hapa JF? Nafikiri tuongee football zaidi, tuachane na mambo ya tele, au sisi wengi kuliko nyinyi maana sina uwezo wa kujibu hili.
 
Back
Top Bottom