Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 304
Kwa mara ya kwanza tokea Wenger kuanza kufundisha Arsenal leo nimeshuhudia Wenger kubadili falsafa yake ya "just concentrate on playing our game and don't worry about opposition tactics"
Naona Wenger ameanza kubadilika ama ameanza kutusikiliza wapenzi.
Leo alitumia tactics kulingana na mchezo wa Chelsea . Aliweka Walcoltt na Nasri in wide positions na asilimia 80 ya kipindi cha kwanza tumekuwa tukitumia kasi ya Walcott na technical ability ya Nasri kui-stretch na kuichosha difensi ya Chelsea, na matokeo yake ilisababisha A cole kupata kadi njano mapema sana na kushindwa kucheza ile staili yake ya ku-overlap, Ferreira nae ilibidi abadilishwe mapema na kuingia Bosingwa kwa vile alikuwa maji ya shingo kutokana na manyanyaso ya Nasri.
Pale kati Fabregas- Song - Wilshere waliwazima kabisa Essien -Lampard - Mikel na supply kwa Drogba na Malouda ilikuwa very limited, hadi ilibidi Mikel apumzishwe half-time na Malouda nae alifuatia dakika ya 55, Djourou alipewa kazi ya "man-marking" the Drog na aliifanya hii kazi kwa ufanisi.
Hongera Arsene kwa kufanya maamuzi ya busara, tunataka na siku ya Barcelona uje na tactics ya kuzuia supply kwa Messi na kuwazima pumzi Eniesta na Xavi,mambo ya free flowing football tusubirie akina W/ham na blackpool.