Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Ka-Diaby kinanyata mbele ya kipa.huyu french connection ndio inamsaidia zaidi ya hapo wa kuuza tu hili afungulie wengine njia.
Si Ka- Pendi......
Ka-Diaby kinanyata mbele ya kipa.huyu french connection ndio inamsaidia zaidi ya hapo wa kuuza tu hili afungulie wengine njia.
hureeeeee3 wacha nasisi tulale kwafuraha leo,wawawawawa。。。。。。。。。North London is back...kumandengeres....Walcott Hoyeeeeeeeeeeeeeee..
Johan Djourou leo alikuwa na kazi ya kumdhibiti Didier Drogba na kazi aliotumwa ameimaliza.
Absolutely..Our defending is still questionableStill poor Defending...............
Johan Djourou leo alikuwa na kazi ya kumdhibiti Didier Drogba na kazi aliotumwa ameimaliza.
Masanilo,peasant,rev kishoka na wengine woteeeeee wa darajani njoooni mtupe heshima yetu hapa.
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee point tatu muhimu sanaaaaaaaaa.
Sasa ni kuomba mungu tuepukane na injury.
Arsenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
viva la arsenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal