Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni sana Ze Gunners wenzangu....Hope leo vijana wataiendeleza furaha yetu.............Pamojah

Team in full: Fabianski, Eboue, Squillaci, Koscielny, Sagna, Diaby, Rosicky, Denilson, Bendtner, Chamakh, Arshavin.

Subs: Szczesny, Nasri, Vela, Walcott, Wilshere, Djourou, Clichy.
 
Fabianski, Eboue, Squillaci, Koscielny, Sagna, Diaby, Rosicky, Denilson, Bendtner, Chamakh, Arshavin. Subs: Szczesny, Nasri, Vela, Walcott, Wilshere, Djourou, Clichy.

hizi changes alizofanya wenger ni noma leo.najua wanahitaji kupumzika lakini mbona united walienda full nondo jana? hiki kosi leo kitakosa creativity na tuweza kutia aibu.wenger nomaaa.
 
Mkuu kumbuka mnacheza na Brum weekend (ambayo ni mechi ngumu zaidi kuliko hii) alafu baada ya hapo mnacheza na Man Citeh
another tough game.
 
Mkuu kumbuka mnacheza na Brum weekend (ambayo ni mechi ngumu zaidi kuliko hii) alafu baada ya hapo mnacheza na Man Citeh
another tough game.

biashara asubuhi mkuu,huoni itakuwa mbaya zaidi tukipoteza hii na hizo zingine lol?
 
Mkuu kumbuka mnacheza na Brum weekend (ambayo ni mechi ngumu zaidi kuliko hii) alafu baada ya hapo mnacheza na Man Citeh
another tough game.

Usishangae tu tukizoa points zote sita katika mechi hizo.
 
Mimi daima simpendi Wenger....Hayupo kwa ajili ya ushindi(ubingwa),ni sababu ipi hasa iliyomfanya abadilishe kikosi karibu chote badala ya kuweka kikosi kilichomchapa Chelsick juzi?......N sisi mara nyingi tukishaanza kufungwa ndo inakuwa imetoka hiyo,huwa hatuwezi kusawazisha....Anyways...Let's keep fingers crossed
 
There are currently 12 users browsing this thread. (4 members and 8 guests)

Balantanda Diana-DaboDiff Arsene Wenger Baba Mkubwa

Kumbe dada Diana naye ni mnazi wa kabumbu.....Hope naye ni mshika bunduki....lol
 
Kwa nini kocha kabadili safu nzima hapa katikati? Hii combination ya Rosicky - Diaby - Denilson inanipa wasiwasi, tunapoteza possesion ovyo na kuwasababisha mabeki wafanye makosa ya kizembe, mfano ni ile penalti, Mungu asaidie kwani Diaby na Denilson wana tabia ya kusababisha adhabu maeneo ya hatari.
 
Hongereni sana Ze Gunners wenzangu....Hope leo vijana wataiendeleza furaha yetu.............Pamojah
Sina shaka na hili kwa vijana wa nyumbani emirate, imani yangu ni kuwa msimu huu tuko kivingine kabisa Arsenal, kuna washabiki wanafikiri Arsenal itakuwa ile ile kila msimu, hapana banaaa na wala msishangae tukaondoka na vikombe 3 msimu huu
 
Arshavin naye makali yake sijui yameishia wapi amekuwa mcezaji wa kwaida sana siku hizi
 
Dah....afadhali huyu jamaa katutoa....cha msingi waongeze magoli sasa..............AW anatakiwa awe serious sasa,mzahamzaha wa kubadilisha timu pasipo sababu ya msingi unatucost kijinga
 
Bendtner goli safi sana angalua sasa kidogo tutatulia
 
Back
Top Bottom