Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa utafananisha Leno mikono 100 na kepa pazia?Leno naona anapata clean sheet kila siku kwenye national team
Sasa utafananisha Leno mikono 100 na kepa pazia?Leno naona anapata clean sheet kila siku kwenye national team
nimekupa bonge la tusi kubwa kuliko yote unayoyajua.........mpumbavu mkubwa maneno hayo kawaambie wazazi wako nyumbani nyau wewe,sasa ulitaka ukiongea upuuzi wako tukusapoti?shubamitt alafu jiheshimu weweWewe ni mtu wa mipasho na vijembe vya uswahilini kama wanawake fulani wa mitaani wale wa kuminya pua wanaongea kama cherehani
Hapa tunajadili kauli ya kusema kuwa Lacazette na Jesus wapo level moja kwa kauli ya yule shabiki mwenzio wa Arsenal ila wewe kama kawaida ya wapuuzi huwa hawajibu hoja kazi yao kushambulia mtu kama mtu (personality) ooh sijui,mara mi mtu wa kubeti sijui mimi shabiki wa hovyo wa Liverpool na nimejulia Liverpool kwa kubeti
Hovyo kabisa
Ndio uwezo wako wa kufikiria ulipoishianimekupa bonge la tusi kubwa kuliko yote unayoyajua.........mpumbavu mkubwa maneno hayo kawaambie wazazi wako nyumbani nyau wewe,sasa ulitaka ukiongea upuuzi wako tukusapoti?shubamitt alafu jiheshimu wewe
Mick ni deadwood?? Apo mumefeli..Mpaka sasa deadwoods aliyebaki ni mustafi na anahitajika na timu za Italy
Baada ya hapo itabidi tusubiri Maingizo mapya ya wachezaji wenye quality ,sio wakuokotaokota tena
Everton Soares,Wilfred zaha, Dayot upemacano, Sangare, haya ni Baadhi majina yaliyo mezani kwa RAUL Sanheil
BORA TUBAKI NA WACHEZAJI 15 ILA WAWE NA POTENTIAL ....
Kwaheri Henrink Micky , japo muda wako uliisha ,ila umeondolewa mapema .View attachment 1195629
Hahahahaha hii ndo fest XI ya arsenal?? Hapa darajani nusu yao wataanzia subMy player ratings for #ARSTOT
• Laca unbelievable goal & class all round play
• Xhaka poor off the ball but ball distribution key in some of our attacks
• Guendouzi was incredible and my MOTM
• Luiz and Sokratis made individual errors but bossed Kane for majority of 90 .View attachment 1195655



Micky ni deadwood alikuwa anakula 200k , na hana muendelezo mzuri,Leo atacheza vzr kesho ovyoMick ni deadwood?? Apo mumefeli..
Msimu huu mtatugawia point 4-6Hahahahaha hii ndo fest XI ya arsenal?? Hapa darajani nusu yao wataanzia sub
Kila la kheri Chelsea![]()
Uyu timu ya taifa hana namba unamfanisha na Gabriel Jesus?? Acha utani bwana..Hahahhaha aweke yeye , Ana leta utan na lacazette .



Wakibisha apa tena basi ..utakuwa ni unazi..Lacazette, a 28 years old striker has 70 appearances for Arsenal with 29 goals
Jesus, JUST A 22 years old striker has 69 appearances for Manchester City with 28 goals



Hivi kumbe Morata 24 years, alikuwa na magoli sawa tu au kumshinda uyu lacca 29years!!! Ina maana Morata alikuwa na uhakika wa kupata namba Arsenal.. Wakati lacazzete angeanzia benchi apo darajani ...Jibu hoja
Morata wa Chelsea nae alikuwa anafunga goli 13 za ligi sawa na anazofunga huyo Lacazette , ila kwa kuwa Chelsea ni kama wako juu yenu kihadhi walimuona Morata Garasa licha ya kufunga magoli sawa na huyo Lacazette na kumtoa kwa mkopo and finally kumuuza





NAMLETA KWENU KAI HAVERTZ
Ni upgrade ya ozil anakupa 10+goals na 10+ assist
Anapatikana £70-90m View attachment 1198188
So sad tumeshindwa toa ata mchezaj mmoja wa kugombania fifa 11, ata auba?





uyo Auba akija Chelsea au Man united atapata iyo nafasi ..akiendlea kubaki tu arsenal ataishia kucheza kucheza fest XI ya Unai tu..Hahahahaha apa utaambulia point mbili tu au tatu..Mechi 5 zijazo za arsenal
Watford
Aston Villa
Man u
Bounemouth
Shefield united
hapo kuna point kati ya 13 mpaka 15
Uyo anaisaliti timu yake ya taifa kama Auba tu ..laana za wananchi wao zinawatafuna..PEPE KA FAKE INJURY?
Nicolas Pépe suffered an injury with his club, and informed the Ivory Coast FA on Wednesday evening. He has headed back to London. [Ivory Coast FA]
Oi nyimbo yako vip imefikisha viewers wangapi mzee??Hahahahaha apa utaambulia point mbili tu au tatu..
Muulize luiz ,Hahahahaha Ozil Naye ni role model hahahahaha![]()
Piga ramli tuHahahahaha apa utaambulia point mbili tu au tatu..
Chelsea hii inayoenda kucheza championship mwakan? Na man hawa ambao mwaka huu nafas ya 6 ndio itakuwa achievement yao kubwa?uyo Auba akija Chelsea au Man united atapata iyo nafasi ..akiendlea kubaki tu arsenal ataishia kucheza kucheza fest XI ya Unai tu..
Kuna sababu tu na chuki binafsi ,Uyu timu ya taifa hana namba unamfanisha na Gabriel Jesus?? Acha utani bwana..
Geroud ni bora Mara kumi ya Lacca..
Bisha..
Kila la kheri Chelsea![]()