Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Unamchukulia poa poa iwobi? Iwobi form yake si ndio ya kina willian kwa msimu anakupa goli 5?Tatizo hutoi point unalalamika tu. Huyo Iwobi alikua Arsenal kafanya nini? Aje kuwika akiwa Everton. Sitegemei makubwa kutoka kwake. Nawaza Iwobi ndio yupo Chelsea sijui anamuweka nani benchi? Pedro? Pulisic? Odoi? Willian?
Siamin wonder naamini kinachoonekana sasa. Tunazumngumzia ubora wa Chelsea na Everton wewe unahamisha story!!
Ndio maana kaenda Everton ,ana goli 2. Hadi sasa , kikosi chao ni bora kuliko cha Chelsea , hutaki subir mkutane ,pia sion mkimaliza juu yao , kama sheflied ,Norwich wanakusumbuen , hamjakutana na mamba , bado unaamini mtamaliza ndan ya top 6 ,itakuwa maajabu.
| #AFC

