Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emery yeye anakazi ya Ku create bifu na ozil ,ili aususe ule mshahara wa £350k , anajifanya Ozil haingii kwenye mfumo wake[/ATTACH]
 
Attachments

  • IMG-20190904-WA0017.jpeg
    IMG-20190904-WA0017.jpeg
    44.1 KB · Views: 26
  • IMG_20190904_190010_894.jpeg
    IMG_20190904_190010_894.jpeg
    28.6 KB · Views: 23
Jomba vip firmino nae n kilaza? maana nae goli zake n hzohzo 10+ kwa msimu. Msmu alio funga goli nying n wa 17/18 goli 15 mechi 37, nje ya yapo n goli 12 kushuka chini. Vp n morata mwingine?
Firmino alianzia kucheza eneo la Winga ya kushoto enzi ya Brendan Rodgers yaani namba 11, chini ya Klopp sidhani kama ana misimu zaidi ya mitatu au inayofika mitatu kama Central Striker

Kuhusu magoli ni kweli hata mimi naona Firmino anafungaga magoli machache kwa kweli , ila ukiangalia mfumo wa Liverpool Firmino ni false striker, false center Forward yaani tisa ya uongo yaani anacheza between lines tofauti na nafasi halisi ya Center Forward(anaecheza namba 9) halisi tofauti na kina Morata,Lacazette ambao wanasimama tisa yenyewe (real center Forward)

Na niliongea vile sababu jamaa huyo Aroon Torreira tuliwahi kubishana humu nikisema Lacazette mchango mdogo sana kwa namba tisa kufunga goli hizo chache anazofunga

Ila hao wote wanafunga goli chache, Firmino tunaweza kumback sababu anacheza tisa ya uongo which means mfumo wa Klopp anavyomtumia Firmino ni kama aina Fulani ya 4-4-2 vile au inataka kufanana fanana na Diamond midfield
 
Xhaka akielezewa tuhuma dhidi yake zinazoendelea: "bila shaka tuhuma mara kwa mara zipo hapa,zinatokea hasa katika mchezo wa mahasimu wa london Ya kasikazini,Nafikili ulikua mchezo mzuri,kweli nimefanya makosa yaliyosababisha penalt lakini ukiangalia tulistahili tushinde mchezo ule"

Xhaka: "tulikua na nafasi nyingi za kushinda lakini huo ndio mchezo wa mpira wa miguu,Hakuna mtu yeyeto anaezungumzia zile nafasi nyingi tulizokua tunapata na kuzipoteza kufunga,Hakuna anaezungumzia jinsi tulivyozipoteza, mda wote wanazungumzia makosa(mistakes) yaliyotokea"

#Xhakabooooo
 
NAMLETA KWENU KAI HAVERTZ

Ni upgrade ya ozil anakupa 10+goals na 10+ assist

Anapatikana £70-90m
IMG-20190904-WA0022.jpeg
 
Arsenal did everything they could to get rid of Mustafi, with the coach even telling player he wasn't part of his plans. However, the club failed to find any potential suitors, leading to him staying. [@SunSport]
 
Mustafi amekosa timu, klabu imehangaika kumtafutia hadi klabu za mkopo zimekosekana

Sasa anakula pesa tu bila jasho. Atacheza hata under-18 kule akaanze kujifunza upya kukaba
 
Abadilishiwe no ikiwezekana acheze mbili, nakumbuka monreal kuna kipind alikua anacheza tatu backup ya gibbs alikua uchochoro huyo kila akipangwa lazma achome ,. Then wenger akaanza kumchezesha cb adi akaiva ata alipo rud lb akawa anafanya vzur mpaka leo. So ijalibiwe kwa mustaf pia you never know inaweza ika work akarud kwenye kiwango chake.
 
Firmino alianzia kucheza eneo la Winga ya kushoto enzi ya Brendan Rodgers yaani namba 11, chini ya Klopp sidhani kama ana misimu zaidi ya mitatu au inayofika mitatu kama Central Striker

Kuhusu magoli ni kweli hata mimi naona Firmino anafungaga magoli machache kwa kweli , ila ukiangalia mfumo wa Liverpool Firmino ni false striker, false center Forward yaani tisa ya uongo yaani anacheza between lines tofauti na nafasi halisi ya Center Forward(anaecheza namba 9) halisi tofauti na kina Morata,Lacazette ambao wanasimama tisa yenyewe (real center Forward)

Na niliongea vile sababu jamaa huyo Aroon Torreira tuliwahi kubishana humu nikisema Lacazette mchango mdogo sana kwa namba tisa kufunga goli hizo chache anazofunga

Ila hao wote wanafunga goli chache, Firmino tunaweza kumback sababu anacheza tisa ya uongo which means mfumo wa Klopp anavyomtumia Firmino ni kama aina Fulani ya 4-4-2 vile au inataka kufanana fanana na Diamond midfield
Alikua ana cheza winga ya kushoto?, c ndo hii anayo cheza salaha sasa hivi au? mbona yy hakufunga kama anavyo fanya salaha right now. False 9 c ata Messi n false 9? Ronaldo je? mbona wao wanatupia sana? una mkumbuka robin van persie wa arsenal( a.k.a hakunaga) au fernando torres wa liver(elnino) c na wao walikua wanacheza kama force 9 mbona wao walipata golden boot, why not firmino? Okey kama bado hujaielewa point yangu n hvi firmino n mchezaj bora pale liverpool kwa sasa ila hafungi sana kwasababu ubora wake haupo kwenye kufunga. Yule n defending minded striker kaangalie stats zake za tackle utakuta anawazd DM kibao, kaangalie chance anazo watengenezea zile mtu mbili pale mbele, n nyingi. so hafungi sana lakn unakuta bado mchango wake n mkubwa na thaman yake kama best striker inabaki palepale. Kwahyo kutoka kwa firmino utajfunza kwamba kucheza kama false 9 haikuzuii ucfunge magoli mengi na hapohapo kutofunga magoli mengi pia hayakufanyi ucwe best striker kama utasimama kwenye ubora wako,. Sasa ukija kumwangalia lacazette vzur utaona hana utofaut sana na firmino katka uchezaj ingawa wana ubora tofauti. Timu ikiwa inashambuliwa lacca ua anashuka chini kabsa kuja kukaba na n maranying tu ana win mipira na kuanzisha mashambulizi then ndo anarud ku cover nafas yake hii n tofauti na center foward ambaye yy anapaswa ku ran pale pale mbele zero distance na centre defender za wapinzan kwa hii muangalie auba, vardy, aguero, samatta. Timu iki win mpira ndo wanafunguka kwa ajili ya accounter attack. Laca hayuko hivo yy n complete striker ana majukumu mengi uwanjan n fighter anakaba anapga chenga ana hold mipira anasubr winger zfunguke anatoa pasi then anachek nafac gan iko loose ana cover co kukimbilia tu kufunga. Magoli yake sasa karbu yote n ya ku convert yaan kufunga kwake co mpaka ipatkane clear chance yy ana score katka mazngra ya no chance to score inabak tu kua surprise kwa fans. Sasa kwa quality kama hzo akikupa 10+ una shida gan,? Morata alikua hana quality zngne za ku offer kwenye timu zaidi ya kufunga na bado alikua anakosa clear chance nyingi sana so huez mfananisha na laca,. Shangaa laca na 10+ yake lakn bado msimu ulio pita ndo alikua mchezaj bora wa club mbele ya auba mwenye golden boot. so goal sio kila kitu ila una offer nn cha ziada ndo kinacho matter zaidi.
 
Rekebisho:Salah ni winga ya kulia, ama tuseme anatokea kulia na si kushoto

Ila kama hajakuelewa hapa achana nae, umemfafanulia vizuri zaidi.. morata huyu wa kufunga kwa kichwa, mguu unamshinda.
 
Arsenal have submitted a 49 man squad for the first half of the Premier league season. William Saliba named despite being loaned back to ASSE.

Saliba has been named as he is 18 and if we name him for the next 3 seasons that means he will have been registered for 3+ years before 21 making him a ‘homegrown’ player.

Arsenal is down to top shithousery and I absolutely love it
we.talk.arsenal-20190905-0001.jpeg
 
Alikua ana cheza winga ya kushoto?, c ndo hii anayo cheza salaha sasa hivi au? mbona yy hakufunga kama anavyo fanya salaha right now. False 9 c ata Messi n false 9? Ronaldo je? mbona wao wanatupia sana? una mkumbuka robin van persie wa arsenal( a.k.a hakunaga) au fernando torres wa liver(elnino) c na wao walikua wanacheza kama force 9 mbona wao walipata golden boot, why not firmino? Okey kama bado hujaielewa point yangu n hvi firmino n mchezaj bora pale liverpool kwa sasa ila hafungi sana kwasababu ubora wake haupo kwenye kufunga. Yule n defending minded striker kaangalie stats zake za tackle utakuta anawazd DM kibao, kaangalie chance anazo watengenezea zile mtu mbili pale mbele, n nyingi. so hafungi sana lakn unakuta bado mchango wake n mkubwa na thaman yake kama best striker inabaki palepale. Kwahyo kutoka kwa firmino utajfunza kwamba kucheza kama false 9 haikuzuii ucfunge magoli mengi na hapohapo kutofunga magoli mengi pia hayakufanyi ucwe best striker kama utasimama kwenye ubora wako,. Sasa ukija kumwangalia lacazette vzur utaona hana utofaut sana na firmino katka uchezaj ingawa wana ubora tofauti. Timu ikiwa inashambuliwa lacca ua anashuka chini kabsa kuja kukaba na n maranying tu ana win mipira na kuanzisha mashambulizi then ndo anarud ku cover nafas yake hii n tofauti na center foward ambaye yy anapaswa ku ran pale pale mbele zero distance na centre defender za wapinzan kwa hii muangalie auba, vardy, aguero, samatta. Timu iki win mpira ndo wanafunguka kwa ajili ya accounter attack. Laca hayuko hivo yy n complete striker ana majukumu mengi uwanjan n fighter anakaba anapga chenga ana hold mipira anasubr winger zfunguke anatoa pasi then anachek nafac gan iko loose ana cover co kukimbilia tu kufunga. Magoli yake sasa karbu yote n ya ku convert yaan kufunga kwake co mpaka ipatkane clear chance yy ana score katka mazngra ya no chance to score inabak tu kua surprise kwa fans. Sasa kwa quality kama hzo akikupa 10+ una shida gan,? Morata alikua hana quality zngne za ku offer kwenye timu zaidi ya kufunga na bado alikua anakosa clear chance nyingi sana so huez mfananisha na laca,. Shangaa laca na 10+ yake lakn bado msimu ulio pita ndo alikua mchezaj bora wa club mbele ya auba mwenye golden boot. so goal sio kila kitu ila una offer nn cha ziada ndo kinacho matter zaidi.
Asipoelewa na hapa atakuwa ni wale wanafunzi slow learner, mimi nakuomba endelea kumpa dozi hii pengine ubongo wake utafunguka sasa
 
Torres na Van Persie hawakuwa false 9 bwana labda umewachanganya majina. False nine kwa kiingereza wanasema yuko deep tofauti na tisa mwenyewe ambae anakabwa kabisa na Center backs. False nine huwa yuko between lines kwa maneno mengine. Messi na hata Sterling huyu wa chini ya Guardiola ndio wamewahi chezeshwa false 9

Tusipindishe ukweli kwamba goli 13 au 14 ni goli chache mno kwa mtu anaecheza tisa, Namba 9 ufunge hizo 13 kwa hiyo inamaana namba 7 na namba 11 wafunge goli ngapi sasa?

Lacazette Ufaransa alikuwa anafunga hadi goli 28 za ligi, kuja Uingereza tally yake kubwa goli 14 mpaka sasa. Na pia simsifii Firmino maana goli anazofunga kwa kweli sio nyingi
 
Rekebisho:Salah ni winga ya kulia, ama tuseme anatokea kulia na si kushoto

Ila kama hajakuelewa hapa achana nae, umemfafanulia vizuri zaidi.. morata huyu wa kufunga kwa kichwa, mguu unamshinda.
Yah n kweli
 
Back
Top Bottom