Sio kweli, tuna wachezaj wengi tu wenye level sawa na mancity tatzo kocha, mchezaj kama jesus kamzd nn lacca kamzd nn auba, debruyne n kama ozil tu akiwa form, cabbelos n benardo silva kabsa, gundagon vs torreira nachagua torreira, stone amfikii holding kipaj, (future will tell) leno na ederson vwango vko sawa. Walker, rodrigo, aguero, davd silva ao ndo hatuna wakufanana nao viwango pale kwa sasa, ila stering, sane, mahrez ao wote n toleo la pili la nicolous pepe. Ubora wa mancity upo kwa kocha na ukubwa wa kikos. Mancity na arsenal tukibadilishana kocha tu emery aende mancity pepe aje arsenal, rasmi arsenal anagombania ubingwa mancity ataitafuta big4 tena kwa tochi..