Kashindane na midtables mzee hapa tunapotezeana muda tu.NDOTO ZA ABUNUASI
Hii timu imewapa traumaKashindane na midtables mzee hapa tunapotezeana muda tu.
Hahahhaha naona unajifurahishaKama kuna mtu kutoka kwenye hili jukwaa atakuja kuiponda The Blues arudi aangalie hizi picha.
The next one is Pepe kufurahishwa. Kwasasa wacha apashe misuli kwa ajili ya kazi kamiliView attachment 1203276View attachment 1203277View attachment 1203278View attachment 1203279
Dogo alileta kibriMikh timu ya taifa anavyo kiwasha utafkir sio yule wa arsenal. yote kwa yote huyu gnabry kila nikimuangalia roho inauma, tuliuzaje mashine hii
Wenger hakukosea kumuacha ,kama unakumbuka kuna msimu Wenger alimpa muda sana wa kucheza , dogo akafanya vzrMikh timu ya taifa anavyo kiwasha utafkir sio yule wa arsenal. yote kwa yote huyu gnabry kila nikimuangalia roho inauma, tuliuzaje mashine hii