Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Na msimu huu anawapeleka championship au nafas zenu 10-15Kepa huu ni msimu wake wa pili amecheza fainali tatu moja kachukua ubingwa kwa kuwapapasa Arsenal
Na msimu huu anawapeleka championship au nafas zenu 10-15Kepa huu ni msimu wake wa pili amecheza fainali tatu moja kachukua ubingwa kwa kuwapapasa Arsenal
Sawa Mtabiri TambitambiNa msimu huu anawapeleka championship au nafas zenu 10-15
Southern , umesahau preseason niliwaambien kuhusu taabu mtakayoipata? Had sasa kwa waliopanda daraja mmeshindwa kuzoa point 6, je hawa wazoefu kina wolves ? Je big match ?Sawa Mtabiri Tambitambi
Mpira hatuutafsiri ivyo ukitegemea upate points kwa waliopanda daraja. Nitapata point kirahisi hata kwako mwenyewe.Southern , umesahau preseason niliwaambien kuhusu taabu mtakayoipata? Had sasa kwa waliopanda daraja mmeshindwa kuzoa point 6, je hawa wazoefu kina wolves ? Je big match ?
Jipe moyo ,msimu huu nawapiga nje ndaniMpira hatuutafsiri ivyo ukitegemea upate points kwa waliopanda daraja. Nitapata point kirahisi hata kwako mwenyewe.
Jipe moyo ,msimu huu nawapiga nje ndani
Mkuu umesahau TOPAZKwa chelsea lazima mkalie wembe wa max rungu good good
Chelsea ya sasa ,bora gwambina ya pasta atanasMkuu umesahau TOPAZ
Naona mnajifariji kwa kuwa game bado sana,Mimi imeniuma sana kwanini game ipo mbali hivyoo, daah!Kwa chelsea lazima mkalie wembe wa max rungu good good
Arsenal legend
Wild mountain gorillas
15th @KwitaIzina gorilla naming ceremony
One incredible trip to Rwanda
@visitrwanda_now x @TonyAdamsKipa pazia, nilijua tu atatoa GG ,