Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

“We showed that we can play better than them. To be honest, in the first half you saw the quality of Tottenham so it will a very hard fight until the end of the season - then we will see who will be better.”

- Bernd Leno on Spurs
IMG_20190903_181538.jpeg
 
Raul Sanllehi has ended Arsenal's contract crisis to usher in new dawn for Unai Emery

Ivan Gazidis' panicked response to Alexis Sanchez's departure bequeathed his successors a ballooning wage budget at the very time when they could least afford it.

As Josh Kroenke told football.london on the club's summer tour: "It’s no secret that we have a Champions League wage bill on a Europa League budget right now.

"That's a fact. And one that we’re figuring out how to face internally at the moment."

Arsenal remain one of world football's best-paying clubs but that was always going to be the case. However in a matter of weeks Sanllehi and chief negotiator Huss Fahmy, who has earned a reputation as a steely deal-maker who can infuriate some agents but gets the job done, have got the wage budget under control, saving an estimated £45million per annum.

That is money that can go not just into new signings but rewarding the progress of the club's most important players. Talks are underway over extensions for Pierre-Emerick Aubameyang and Alexandre Lacazette; Matteo Guendouzi and Joe Willock are expected to follow before the end of the year.
 
AFTER SAVING £50m WAGE BILLS PER YEAR

That is money that can go not just into new signings but rewarding the progress of the club's most important players. Talks are underway over extensions for Pierre-Emerick Aubameyang and Alexandre Lacazette; Matteo Guendouzi and Joe Willock are expected to follow before the end of the year.
IMG_20190902_110722.jpeg
 
Hahahhaha aweke yeye , Ana leta utan na lacazette .
Hawa ndio watu wachache wanaoleta maana mbaya katika neno 'ushabiki' yaani mtu upo serious kabisa unakomaa jesus ni zaidi ya LACAZETTE........na unaomba na takwimu kabisaaaaa khaaaa
 
Watu kama hawa ni wakuwapuuza , na kuwapita kama upepo
 
Lacazette, a 28 years old striker has 70 appearances for Arsenal with 29 goals

Jesus, JUST A 22 years old striker has 69 appearances for Manchester City with 28 goals
ndio nini sasa?lete takwimu za msimu uliopita na uliopita ...sasa hicho ulicholeta ni takwimu au udaku..hhahahahahaha ila wewe ndio shabiki wa pekee wa liverpool ambaye huna idea na soka inaonekana unaishabikia liver kwakuwa inakupa pesa katikabetting kama mashabiki wa man city na wale wa leicester city walivyopatikana ........hivi wewe ni kops kweli? mbona unadhalilisha wenzako?ngoja nimuulize mwenyekiti wenu MosDef au katibu wenu King Ngwaba kama wanatambua uwepo wako
 
Huyu jamaa mfatilie ni Barcelona fan,ila kwakuwa EPL imeshika kas bas huwa anapumzikia Liverpool ,juz alisema lacazette hawez kuisaidia arsenal maana hana uwezo wa kuifungia arsenal goli 20 ,

Nilivyoona hivo ,nikaamua kumuacha
 
I still think 4231 is the best option for us.

Leno Bellerin Sokratis Luiz Tierney Torreira Guendouzi Pépé Ceballos/Özil Aubameyang Lacazette
Baba luiz tena! ata holding akipona?
 
ndio nini sasa?lete takwimu za msimu uliopita na uliopita ...sasa hicho ulicholeta ni takwimu au udaku..hhahahahahaha ila wewe ndio shabiki wa pekee wa liverpool ambaye huna idea na soka inaonekana unaishabikia liver kwakuwa inakupa pesa katikabetting kama mashabiki wa man city na wale wa leicester city walivyopatikana ........hivi wewe ni kops kweli? mbona unadhalilisha wenzako?ngoja nimuulize mwenyekiti wenu MosDef au katibu wenu King Ngwaba kama wanatambua uwepo wako
Wewe ni mtu wa mipasho na vijembe vya uswahilini kama wanawake fulani wa mitaani wale wa kuminya pua wanaongea kama cherehani

Hapa tunajadili kauli ya kusema kuwa Lacazette na Jesus wapo level moja kwa kauli ya yule shabiki mwenzio wa Arsenal ila wewe kama kawaida ya wapuuzi huwa hawajibu hoja kazi yao kushambulia mtu kama mtu (personality) ooh sijui,mara mi mtu wa kubeti sijui mimi shabiki wa hovyo wa Liverpool na nimejulia Liverpool kwa kubeti

Hovyo kabisa
 
Huyu jamaa mfatilie ni Barcelona fan,ila kwakuwa EPL imeshika kas bas huwa anapumzikia Liverpool ,juz alisema lacazette hawez kuisaidia arsenal maana hana uwezo wa kuifungia arsenal goli 20 ,

Nilivyoona hivo ,nikaamua kumuacha
Jibu hoja

Morata wa Chelsea nae alikuwa anafunga goli 13 za ligi sawa na anazofunga huyo Lacazette , ila kwa kuwa Chelsea ni kama wako juu yenu kihadhi walimuona Morata Garasa licha ya kufunga magoli sawa na huyo Lacazette na kumtoa kwa mkopo and finally kumuuza
 
Wewe hujui lolote kuhusu mpira , huwa unapuyanga, ndio maana binafsi nilishakuacha ubwabwaje,
 
Saliba has been named as he is 18 and if we name him for the next 3 seasons that means he will have been registered for 3+ years before 21 making him a ‘homegrown’ player, it is a totally elite move and you love to see it .
 
Arsenal have submitted a 49 man squad for the first half of the Premier league season. William Saliba named despite being loaned back to ASSE. [@jeorgebird]
 
Back
Top Bottom