Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijapotea, sema hujajiuliza kwanini Scholes haoni kama Arsenal itamaliza juu ya Man U?
Ukweli ni kwamba Arsenal itamaliza juu ya Spurs, Chelsea na Man U.. Bahati mbaya kwenu Holding na Tierney wanarudi uwanjani soon.. Na kwa vile David Luiz ni mtaalam wa pasi na kuanzisha mashambulizi, atapandishwa mbele kidogo na kuwa DM, halafu tutaona mtapita wapi.. Kiukwel sasa hivi tunapoteza nexhi jwa sababu ya backline.. Uongizi tayari unalijua hilo na linafanyiwa kazi na January Upamecano anatua Emarates, halafu mmalize juu yetu, hebu kuwa serious kidogo buana!....
 
Bora angesema man u ningemuelewa ,maana wanaweza January wakarud sokon,

Chelsea hata kumaliza juu ya Leicester city afanye kazi kweli kweli
 
UKWELI NI KWAMBA MASHABIKI WA ARSENAL WANAIONA TIMU YAO INAWEZA KUBEBA KOMBE EPL, WAKATI VIONGOZI WA CLUB WANAONA TIMU INAHITAJI MUDA ZAIDI KUENDELEA KUJENGWA IWE SHINDANI KWA MANCITY NA LIVERPOOL KWANI KWA SASA BADO NI GARASA
Ni kweli Arsenal bado ipo Owen's transitiin, tunajua hilo na ndio maana hatujasema Arsenal ni bora kuliko Liverpool na Man City . Lakini pamoja na mapungufu yetu hasa kwe beki lakini huwezi kutulinganisha name Chelsea na Man U.. Tottenham bado wanaweza kujipanga na kufanya vizuri naana wana kocha mzuri. Man U labda wasajili January, pia kocha anawaangusha.. Mourinho kaanza kuvizia kazi Arsenal!.. Unajua kwa nini?.. Mourinho anajua pale arsenal akiongeza CB na DM arsenal itakuwa katika level nyingine kabisa... Sasa usilete ushabiki eti kwa kuwa huipendi Arsenal hata uhalisia wa hali halisi ilivyo unashindwa kuuona!!!
 
Rekebisha kwenye rangi nyekundu
 
Bora angesema man u ningemuelewa ,maana wanaweza January wakarud sokon,

Chelsea hata kumaliza juu ya Leicester city afanye kazi kweli kweli
Kurudi sokoni hakuguarentee ubora na chemistry ya timu
 
So sad tumeshindwa toa ata mchezaj mmoja wa kugombania fifa 11, ata auba?
 
Full squad Europa
IMG-20190905-WA0011.jpeg
 
Ni kweli Arsenal bado ipo Owen's transitiin, tunajua hilo na ndio maana hatujasema Arsenal ni bora kuliko Liverpool na Man City . Lakini pamoja na mapungufu yetu hasa kwe beki lakini huwezi kutulinganisha name Chelsea na Man U.. Tottenham bado wanaweza kujipanga na kufanya vizuri naana wana kocha mzuri. Man U labda wasajili January, pia kocha anawaangusha.. Mourinho kaanza kuvizia kazi Arsenal!.. Unajua kwa nini?.. Mourinho anajua pale arsenal akiongeza CB na DM arsenal itakuwa katika level nyingine kabisa... Sasa usilete ushabiki eti kwa kuwa huipendi Arsenal hata uhalisia wa hali halisi ilivyo unashindwa kuuona!!!
Huo mlibganisho unaosema unafanyika mwisho wa msimu na siyo sasa. Kinachoendelea kwa sasa ni kuona progress uliyonayo itakupa nini mwisho wa msimu? Arsenal inaanza kuwa kama Utd akishinda mechi mbili tatu mnaanza kuona mmekamilika sasa.

The end does not justify the means.
 
Kipa ghari, Kepa Alizabaraga leo kadakia timu ya taifa ya Hispania huku De gea akiwa benchi. Alafu kuna walevi wanasema Kepa siyo kipa
Hayo mataputapu tulushayazoea huwa hayana point ya maana. Sina hakika kama kipa wao kaitwa timu ya taifa na hata akiitwa hawezi kuwaweka nje ter stegen na Neuer.
 
Ndo wajue thamani ya Kepa inaonekana kwa wanampira siyo vinginevyo
 
Back
Top Bottom