Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We've sold so many players, and I'm happy because it has created space,for January purchase
 
Juventus are considering a move for Arsenal defender Shkodran Mustafi as an alternative to Bayern Munich’s Jerome Boateng as a replacement for the injured Giorgio Chiellini. [Sky Germany] #afc
 
Honestly dogo mateo kacheza vzur sana janaa but kitimu tulkua na mapungufu hasa katika nafasi ya kushambulia hata morinyo kalisema hlo utatu mtakatifu unaitaj mfumo utakao waruhsu kucheza vzur na sio 433

Always naonaga 4231 huwa ndo mfumo wetu wakunyongea watu
 
Huyu aondoke tu mkuu, jana kanikera sana atacheza hata Nelson.
Me sijamuelewa kocha alivomtoa nacho wakat kwenye ile nafasi bado sijaona mtu wa kuimudi vizur kama nacho halafu bado mky ni wa muhimu sana japo haonekani kubadilika
 
Xhaka kula umeme nimependa nadhani gemu zijazo atamtumia lt11 kama dm huku cebalos na matteo wakiwa kama CM.. xhaka ana matatizo saana akicheza midfielder ya chini hasa akiwa pekee na wapinzani wakiwa na presha ya hali ya juu.. amtumie lt11 nadhani alitaleta matokeo chanya.

Jana tumefungwa magoli fulani ambayo kiuhalisia hatukupaswa kufungwa ni uzembe mkubwa... Na makosa km haya ndio yanatunyima points daima, tunafunga ila tunaruhusu magoli, leno alifanya saves nyingi nzuri, na pia sie tukakosa nafasi kadhaa za wazi.. ni kuongeza umakini katika umaliziaji na kuongeza umakini katika uzuiaji.
 
Kwa taarifa ni kuwa Mou anavizia kibarua Arsenal , hivo emery aendelee na ujinga wake aone....

Have a feeling Jose Mourinho really really wants the Arsenal job and with our club having close ties with Jorge Mendes, I really wouldn't be surprised if it became a reality.
 
Safari ya Micky imeiva ......

January hadi summer tutarajie maingizo mapya

LW , DM , CB
Screenshot_2019-09-02-10-37-41.jpeg
 
Sky sources understand Henrik Mkhitaryan is travelling to Rome this morning to finalise loan move.
Screenshot_2019-09-02-10-40-12.jpeg
 
Mpaka sasa deadwoods aliyebaki ni mustafi na anahitajika na timu za Italy

Baada ya hapo itabidi tusubiri Maingizo mapya ya wachezaji wenye quality ,sio wakuokotaokota tena

Everton Soares,Wilfred zaha, Dayot upemacano, Sangare, haya ni Baadhi majina yaliyo mezani kwa RAUL Sanheil

BORA TUBAKI NA WACHEZAJI 15 ILA WAWE NA POTENTIAL ....


Kwaheri Henrink Micky , japo muda wako uliisha ,ila umeondolewa mapema .
Screenshot_2019-09-02-10-40-12.jpeg
 
MOURINHO KUHUSU ARSENAL DHID YA SPURZ

Arsenal kuanzia katikati wapo vizur na wana options nyingi

jukum la kocha tu kumaliza palipobakia kwenye kupanga timu

Auba anacheza pembeni ila muda mwingine anajisahau anahis kama yupo kat kat kulingana na uchezaji wa Arsenal

Pia anasema Auba angekuwa pale Liver angefunga sana magol mengi hata kama angecheza pembeni kwasababu Firminho anashuka chini zaidi na kuwaacha Mane na Salah wakifanya wanavyotaka kitu ambacho Lacazette kwa upande wa Arsenal hafanyi.
 
Deal done. Micky to Roma

Mpaka sasa deadwood amebaki mmoja mustafi , juve wanamuhitaji ...

Mpaka sasa wachezaji karibu 15 wameondolewa , .....
 
Roma watalipa mshahara wake wote ....

Arsenal view Mkhi deal as a good one for a number of reasons. He will get the game time he wants, it will give youngsters (Nelson, Martinelli, Saka) more of an opportunity and of course financially it helps. Roma will pay a loan fee and cover a large amount of £180k a week wages.
 
KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA ,

MUSTAFI NA YEYE LEO ATAONDOKA ....

Could be a busy day at the Emirates. Talks with Roma ongoing over a loan move for Mkhitaryan. Looking likely. Also told an exit for Mustafi is possible today.
 
Mkhitaryan is joining Roma on loan from #AFC with an optional purchase clause [Alessandro Austini - Il Tempo]
 
Hii ni faida £200k per week ,Arsenal itamlipa 20 tu kwa wiki

Roma will pay £180 per week to Mkhitaryan, Arsenal will pay the remaining £20k. [@asromalive]
 
Back
Top Bottom