Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Hivi hizi fedha mnazifanyia nini maana Mr Bean bado anaendelea kununua wachezaji wa mtumba
tunalipia uwanja.
Hivi hizi fedha mnazifanyia nini maana Mr Bean bado anaendelea kununua wachezaji wa mtumba
matanga yanaendelea sijui yataisha lini khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee. Jamani tupo msibani hapa wenye unoko waende kwa michuzi blog khe kheeeeeee.
Naona ile schedule nyepesi mmeianza vizuri sana hapo Emirates, we put 6 aginst West Brom....hahahahahahahha!!!!!!!!!mzee hile schedule ya mwanzo mkaanza kupiga kelele mnacheza playstation sasa shughuli meiona leo.
kWASABABU ZILITAKIWA ZIONGEZWE DKK 5.....Hivi kwa nini refa kaongeza dakika 5?
Mkubwa are you serious?Mitumba?? Kosceilny, Chamakh na Squillaci wote ni quality mkuu, tunahitaji kipa tu January na hela ipo.
Naona mmeanza vizuri fixture nyepesi, kama mlivyomaliza msimu uliopita.asanteni sana wachezaji wa arsenal kwa kunipa warning mapema hili nijue niweke wapi first aid kit yangu.
asanteni sana wachezaji wa arsenal kwa kunipa warning mapema hili nijue niweke wapi first aid kit yangu.
Bellinda mchungaji anacheka sana unaweza jua sababu!
Sababu mlijua mtaifunga Man City kumbe kibao kimewageukia..Tevez juu!! ha ha
wewe na balatanda huwa nina waheshimu sana michango yenu! ligi ndo kwanza mechi ya sita! I hate wacha1 boflo ni mjinga sorry for being harsh
Oooh no Rev, maneno makali sana haya!..Wacha1 is a good chap!!punguza munkari, huu ni upinzani wa keyboard tu mchungaji! Amani iwe nawe..