Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu Odemwinge ni quality kushinda Drogba, Drogba ni box man na an nguvu ila ameanza kukaa kwenye namba sio ya 30, kwa upande wa Ode yeye ni sawa na Anelka, anaweza kucheza right. left ama lone striker, japo sio jibaba lakini ana nguvu, anafunga mguu wa kulia, kushoto hata kwa kichwa, na anatumia akili sana, pia ana uwezo mkubwa wa kuzuia mpira wanaposhambulia.

Duh yani weye ushamuona Anelka mali? Walahi weye kipofu!
 
Kumbe Chelsick wanafahamu wapinzani wao ni nani. Walikuwa wamelowa kama kuku aliyenyeshewa na mvua lakini baada ya mechi ya Emirates naona wamefufuka. Sasa kukata mzizi wa fitna mambo yote Darajani Jamapili ... .... ..... ongezeni bei ya sangwejes tu maana hamna fweza ... ... sisi tutalipa tu ili kuwaokoa na ukata.

Utabiri huu ni sawa na kudai Hashim Rungwe atakuwa Rais wa tano wa Tanzania!:glasses-nerdy:
 
Utabiri huu ni sawa na kudai Hashim Rungwe atakuwa Rais wa tano wa Tanzania!:glasses-nerdy:

Kwani mmefungwa mara ngapi na Arsenal? Au ni mara ngapi mlifungwa na Arsenal kabla ya Abraham o vich kununua hicho kilabu cha vikongwe?
 
Duh yani weye ushamuona Anelka mali? Walahi weye kipofu!
Hapa niliongea kuhusu staili ya uchezaji Odemwinge ni all round player he can come inside, show great strength, play as lone striker, at left/right wakati Drogba yeye ni more suited and effective in the box only.
BTW Anelka ni kwamba amezeeka lakini yes ni mali na ndio maana ulimuona akicheza vilabu vikubwa kama Madrid, Arsenal, Liverpool na Chelsea, ama hawa mameneja waliomnunua nao ni vipofu?
 
Mbu, AW mpo?!!..Wacha1 hata nguvu ya kuweka pics sijui kama unayo🙂poleni

...yaani kungekuwa kunauwezekano, basi siku ya leo ningeifanya 'ajua!...'
Hata furaha ya kufungwa kwa Chelsea haijaisha Arsenal wameniharibia tena siku yangu.
aaarrghhh!!!

Anyway, tutange yajayo...kilio cha wengi harusi...si Chelsea wala Spurs anayecheka leo!
Usiku mwema.
 
Labda waongoza ligi!
 
Hehehe kumbe washabiki wa CSKA London wakifungwa na ustaarabu nao unarushwa dirishani.
 
Tatizo letu ni viungo, nilishangaa Wenger aliamua kuanza na 4-4-2 halafu eti Diaby, Eboue na Song wote wameanza? huwezi kuanza na Diaby na Eboue kama unataka ushindi, aliwadharau West Brom, Diaby, Eboue na Song wanapoteza pasi hovyo na hawakawii kupigisha free-kick, ni too risky kuwaweka kwenye same line-up.
Sagna nae alikuwa bomu, Huyu Almunia tumeshamzowea, ingawa aliokoa penalti amefungwa magoli ya kizembe, yote haya ni Wenger dunia nzima ilimwambia asajili kipa na muda alikuwa nao tosha, hela alikuwa nayo, Wenger amelosti plot kiaina.
Mkubwa mimi naona mna matatizo mengi ,kwanza golikipa bomu,defence yenu pia ina matatizo siku hizi Sagna &Clichy nao hamna kitu sijapata chance ya kuwaona hao wafaransa wapya.Viungo umeshasema mwenyewe tatizo lingine washambuliaji wenu wanakosa sana magoli
 
Hehehe kumbe washabiki wa CSKA London wakifungwa na ustaarabu nao unarushwa dirishani.

...ha ha ha, aisee una vijembe sana siku mbili tatu hizi.
Ngoja niangalie matokeo yenu ya leo...
Mwenzio Belo anauma akipuliza!

Wakati umefika kwa Diaby kuchezea Reserves sasa, bora hata ya Denilson!
 
timu ikiwa inabahatisha bahatisha noma sana,wameenda kuniaribia furaha ya chelsea kufungwa yote.
hahahhahahaha!! kumbe mnajua timu yenu inakwenda kibahati bahati. Sasa kelele za nini kwamba mtakuwa mabingwa?
 
Duh, mbona kuna uhaba wa picha humu? Lakini kule Stamford Bridge mijitu ya kusafisha mizinga kila siku kuja jaza mipicha:becky:
 
Hapa niliongea kuhusu staili ya uchezaji Odemwinge ni all round player he can come inside, show great strength, play as lone striker, at left/right wakati Drogba yeye ni more suited and effective in the box only.
BTW Anelka ni kwamba amezeeka lakini yes ni mali na ndio maana ulimuona akicheza vilabu vikubwa kama Madrid, Arsenal, Liverpool na Chelsea, ama hawa mameneja waliomnunua nao ni vipofu?

Kweli,

Anelka angekuwa mali kama angekuwa akijituma kila mechi kama wakati ule Drogba alikuwa hayupo. Angalia alipokwenda WC, he is not that impressive na Ode is much better quality than Nicky!
 
sisi tumelala tu tunalzimisha pasi za kwenye box kila siku .au wachezaji wetu wana kalili sana kama mfumo wa elimu wa tanzania? mtu unashindwaje kusoma game?
Mmmh, hii kauli si nzuri hata kidogo,kama ambavyo timu inashinda kwa style hiyo ukafurahi,basi siku nyingine mambo hugeuka,usisahau pia kuwapongeza wapinzani wako kwa vile nao walicheza vizuri
 
Mmmh, hii kauli si nzuri hata kidogo,kama ambavyo timu inashinda kwa style hiyo ukafurahi,basi siku nyingine mambo hugeuka,usisahau pia kuwapongeza wapinzani wako kwa vile nao walicheza vizuri

hapana mkuu,huu uzemebe wachezaji huwa wanafanya sana,tunakosaplan b miaka nenda rudi hii game kama kweli tuko tunataka kombe haikuwa ya kupoteza.kila kitu chetu kilikua kibovu.
 
Manuel Almunia will miss Arsenal's UEFA Champions League trip to Partizan Belgrade after the goalkeeper suffered an elbow injury.
The Spaniard hurt his elbow during Saturday's 3-2 home defeat by West Bromwich Albion
spacer.gif
when he conceded a penalty by bringing down Peter Odemwingie.
spacer.gif

Though Almunia redeemed himself by saving Chris Brunt's spot-kick, he was later at fault for West Brom's second goal after allowing Gonzalo Jara's shot to find its way into the net.
Arsene Wenger
spacer.gif
refused to blame Almunia after the shock defeat and was planning to keep faith with the keeper for Tuesday's game in Serbia.
However, the injury picked up at the weekend is serious enough to rule Almunia out of the game, meaning Lukasz Fabianski
spacer.gif
will start against Partizan.
Problem

"We have Manual Almunia out," said Wenger.
"He has a problem with his elbow. He caught it when he made the penalty on Saturday."
The Arsenal
spacer.gif
manager also confirmed Kieran Gibbs
spacer.gif
will be assessed on Monday as the left-back is still recovering from the bruised foot suffered in last week's Carling Cup
spacer.gif
clash with Tottenham.
Wenger added: "Also Kieran Gibbs has a test in training today."

Wenger bado tu hataki kumpa nafasi nyingine Manone ,huyu fabianski nae mchecheto sana golini.Wenger kweli mbahili yani tatizo lakipa kahama nalo toka msimu uliopita.
 
hapana mkuu,huu uzemebe wachezaji huwa wanafanya sana,tunakosaplan b miaka nenda rudi hii game kama kweli tuko tunataka kombe haikuwa ya kupoteza.kila kitu chetu kilikua kibovu.
Ila ujue kuna timu zipo kwa ajili ya kuharibu tu,wanakuwa wazuri sana kwa ajili ya mechi moja tu,zingine ovyo,hapo ndo utalaumu kuwa hamkuwa vizuri kumbe watu wamekamia.
Na pia kwa ligi ya kishindo kama hiyo yenu,huwa ni nadra sana kuwa top kwa zaidi ya mechi 5,hasa kwa timu yenu ambayo matumizi ya nguvu ni nadra sana,hivyo kuna kuslow down kila baada ya mechi kadhaa na ndipo bahati mbaya unapoteza kwa timu ambayo unajua kuwa umeizidi uwezo na upo kwako,kumbe wao walikuja wakijua kuwa nyie mpo juu so they have to fight even harder.
 
Back
Top Bottom