Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wetu ni wazembe sana ndani ya box,mtu anapata nafasi ya kujaribu kufunga anaenda kutoa pasi ya ajabu.
 
Bassong kaenda kutupa pnati ya kijinga lol, Huyu NASRi jumamosi alikataa kupiga penati leo kwenye kikombe ambacho hakina maana ndio anataka ku step up.
 
Arsenal hold on mnashinda mechi hii! Mbereko yenu ni baab kubwa
 
dah, vikombe vya mbuzi hivi game imenipita bila kujua.
Nani kashinda leo?
 
Back
Top Bottom