rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,969
Timu ya vilaza wanapeana moyooo[emoji23][emoji23][emoji23]humu mnajadili nini kwani?
Timu ya vilaza wanapeana moyooo[emoji23][emoji23][emoji23]humu mnajadili nini kwani?
[emoji3][emoji3]OK tusubiri jjtano , tuache porojo ,
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora fainal.tucheze na Chelsea ,sio hawa wajeruman, wana mpira kama WA Napoli,
[emoji3][emoji3]Hamna kitu, wale wana mpira lain sana, bora frankfurt
HahahahahahahTumetofautiana sana, Mimi bora nicheze na Chelsea ,kwanza rahis kuwa attack na ukapata magoli, Chelsea hii ya sarri haitishi kabisa,
acha yaendeleeMazoezi yanaendelea huko BAKUView attachment 1108727View attachment 1108728View attachment 1108731View attachment 1108733
Hahahahahahahahah bado mpo kwenye flight tuArsenal tuko kwenye flight kuelekea Baku
ALL THE BEST MY TEAM ....
Kitambo sana mzee mwenzangu naona ushindi umekuibua toka ulikokuwa hongereni sana mlistahili ushindi huu mnono kama Peter asingekuwa makini basi nane zingefikaTunawashukuru....View attachment 1112399
Muda mwingine mnajitoa ufahamu. Mwisho was siku mnaangukia pua na kubaki na aibuMkuu nilisahau kabisa kuwa hii ni Arsenal
Sasa ivi anasoma sms kimya kimyaHuyu - Aaroon ajajinyonga kwel ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wameshafika muda mrefu wana kusubiri wewe tu