Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Exclusive Usajili News!!! ARSENAL KUMSAJILI SAMUEL UMTITI ENDAPO TU ITANYAKUA KOMBE LA EUROPA.

Uongozi wa Arsenal umemhakikishia kocha Unai Emery kwamba endapo Arsenal itatwaa ubngwa wa Europa wiki ijayo, Arsenal itamsajili beki wa kati Samuel Umtiti kutoka Barcelona.

Kiticha kiasi cha pauni milioni 56 kimewekwa standby kusubiri matokeo ya jumatano ijayo kati ya Arsenal na Chelsea kwenye mechi ya fainali inayotarajiwa kufanyika uwanja wa Olimpiki wa Baku nchini Azerbaijan.

0_Spain-FC-Barcelona-v-PSV-UEFA-Champions-League-Group-B.jpg

Samuel Umtiti mwenye umri wa miaka 25 atakuja Arsenal kuziba pengo la Boss Laurent Koscielny ambae ataondoka Arsenal baada ya msimu huu kuisha.

Umtiti kwa sasa anacheza kama beki msaidizi wa mabeki Gerard Pique na Clement Lenglet na ikiwa Barcelona watamkamilisha usajili wa beki mkoba wa Ajax Matthijs de Ligt, basi ni Dhahiri kwamba Samuel Umtiti atasugua sana bench.

Samuel Umtiti pia ni beki wa kati wa timu ya taifa ya Ufaransa na alishiriki kwenye kikosi cha nchi hiyo kilichonyakua kombe la dunia nchini Russia.

Habari ingine nzuri ni kwamba mmoja wa viongozi wa juu wa Arsenal Raul Sanllehi ambae aliwahi kuwa mkurugenzi wa mpira wa Barcelona, ndie anaeongoza mazungumzo na mchezaji huyo.

Pia baada ya fainali ya kombe la Europa Arsenal itaelekeza juhudi zake za usajili kwa kuweka dau kwa mchezaji Ryan Fraser ambae ni mshambuliaji wa pembeni wa timu ya Bournemouth.

Fraser ambae ana umri wa miaka 25 pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Scotland.

Kuondoka kwa Aaron Ramsey na kutoridhishwa na ufanisi wa mchezaji wa mkopo Denis Suarez ndiko kumepelekea kocha Unai Emery kudai usajili wa beki wa kati, mshambuliaji wa pembeni au kiungo na beki wa kushoto ambae atakuja kuziba nafasi ya Nacho Monreal ambae sasa ana umri wa miaka 33.

Hivyo kunahitajika mchezaji wa kiungo ambae atafanya kazi kama ilofanywa na Ramsey alipokuwa akicheza.

Henrikh Mkhitaryan anaweza kufanywa mbuzi wa kafara kwa kuuzwa ili fedha zitakazopatikana zisaidie kumsajili Ryan Fraser.

Safu ya mabeki wa Arsenal msimu huu ulokwisha wameruhusu magoli 50 ikiwa ni rekodi mbaya sana kwa mara ya kwanza baada ya miaka 35.

c44007ac-89a5-4987-b21b-1713041fa1e3.jpg

Ryan Fraser.

Tusubiri baada ya fainali ya Baku Jumatano ijayo.
 
Karibu mzee,
Naona ndio kipindi chako hiki cha kushusha nondo za usajiri,tetesi na breaking news kama zote....
Uwanja ni wako
 
Kupeleka fainali maeneo ya mbali ni sawa na hasara tu bora wangeipeleka tz kabisa.

Fainali zingefika timu zisizo toka uingereza ,isingekuwa hivyo.walatusingesikia kuwa ni mbali,ila uingereza timu zilizo ingia zinapendwa na mashabiki .mashabiki lazima waende uwajani.aibu kwa wapangaji wa fainali.
 
Sahihi kabisa Mkuu.
 
Back
Top Bottom