Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pole ya nini mkuu ikiwa tuna chance kubwa ya kubeba Europa?
Nilikwambia mapema kwenye uzi wa Chelsea, Huna timu ya kumfunga Chelsea wewe ukaniona kiazi sasa Tutaona Mimi na wewe nani anatoka kapa msimu huu
 
Wewe unapayuka huku,

Man city kashinda huko 1-0

Kesho messi anawaweka TENA

30yrs loading.....
Una litimu la hovyo hovyo tu kazi kujitoa ufahamu tu Liverpool tumepiga kazi misimu miwili mfululizo hatujabeba kitu ujerumani ubebe wewe mwenye timu kama kikundi cha wauza matikiti wa Yombo Buza.
 
Mkuu popote ulipo jitokeze useme chochote walau nafsi zetu ziridhike. Kukaa kimya unazidi kutupa wasiwasi juu ya usalama wako.

Tafadhali jitokeze mkuu.
Jamaa anahitaji uangalizi wa hali ya juu sana vinginevyo anaweza kujitundika na kamba
 
Liverpool hatuhitaji mashabiki uchwara ijumamosi tumeshajitosheleza
 
Yan arsenal naiona ikitolewa tena io nafasi ya tano msimu ujao.
Sasa Uefa si ingetia aibu.
 
Screenshot_2019-05-30-14-08-02.png
 
Back
Top Bottom