OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Msiba unaendeleaje apa.
Dah ntammic sana RAMBOKwaheri Aaron Ramsey. Nitakukumbuka kujitoa kwako kwa ajir ya klabu, nitakukumbuka kwa magoli mazuri ,
I will mic u Aaron Ramsey, View attachment 1085789
Marehemu alikuwa na mdomo sanaHuyu Aroon bado hajaonekana tu.?
Marehemu alikuwa na mdomo sana
Hawa wachezaji wenu wa paund milion 20 ndo wanaicost hii timu yetu. Wenger ndo alijua kudeal nao sio huyu Unai anaruka ruka tu mpaka sasa hana first XI ..
WhatRIP Jose Reyes
Dah ajali Mbaya ya gariRIP Jose Reyes
RIP Jose Reyes