Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Substitutions za kijinga. Arsenal hatutashinda leo... FT 2-2
 
Aya bhana
20190503_000804_rmscr-1.jpeg
 
Tatizo huwa unakejeli kwanza unasahau huu ni mpira na lolote linatokea.
Wapi nimekejeri,?

Nimeangalia mipira yote WA arsenal na wachelsea banda umiza,

Hao Valencia walain kama ulivyo mpira WA Spain, ndio maana alipoingia lt11, wakawa lain zaid maana tunawapress,

Frankfurt ni wanacheza mpira mgumu,nimewafananisha na Napoli, bila kukaza Leo mngetoboka, shukran kwa Loftus cheek,

Kwa analysis ya nilivyoangalia ,basi nahitimisha Valencia hana uwezo wa kushinda 2-0 ,na arsenal asipate goli,

Unakumbuka hata kwa Napoli nilimwambia ukabisha ukatangaza hadi Dau,
 
Arsenal tumeshatinga Fainal Europa league Valencia hawawezi kututoa

Kwa matokeo haya tuna nafas kubwa ya kucheza na Chelsea

Na bora tucheze na Chelsea kuliko wale wajerumani ,
 
Unai to @elchiringuitotv: “The 3rd goal gives us a little more breathing room going to the return leg in Valencia.”
 
Torreira alipoingia tu biashara ya Valencia kulichungulia box ikaishia hapo hapo dar jamaa noma kinoma
IMG-20190428-WA0004.jpeg
 
Lacazette & Aubameyang now have a combined 60 goals & assists this season.

Aubameyang 25 goals & 7 assists

Lacazette 18 goals & 10 assists.

#Arsenal
 
Emery says Koscielny "was very tired". Doesn't know if he'll be fit for Sunday [arguably whether he would risk him anyway] but Emery hints he was taken off as a precaution rather than due to a specific problem.
 
Mm kama Arsenal Tunaenda Spain kufanya Tour kidogo ya kwenda Arzebeijan

xhaka na guendouz na laca wapunguze ujinga,
sokratis katisha kamata sana watu koscienly hatar anakufa na Team ameumia lkn anakamua ozil kaupga si mbaya Mick akicheza 10 anaupga sana Alhamis tunaenda kumaliza game
 
Back
Top Bottom