Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mm kama Arsenal Tunaenda Spain kufanya Tour kidogo ya kwenda Arzebeijan

xhaka na guendouz na laca wapunguze ujinga,
sokratis katisha kamata sana watu koscienly hatar anakufa na Team ameumia lkn anakamua ozil kaupga si mbaya Mick akicheza 10 anaupga sana Alhamis tunaenda kumaliza game
Siko mbali sana na wewe ila Laca hana shida sana, kwangu mimi Aubemeyang anatakiwa kuongeza kiwango amekua lazy sana mipira kwake haikai kwenye matumizi ya nguvu ndo amefeli na laiti jana tusingekua na Laca kule mbele tungepata tabu sana.

Shida nyingine ni Granit pamoja na kucheza vizuri kiasi flani lakini hua ni lazy sana na kwa ulazy lazy wake amekua akipoteza mipira yenye kuhatarisha na kucheza rafu za hovyo maeneo hatarishi.

Mwingine ni yule mtoto Maitland Niles ni kweli amekua akutusaidia sana ukizingatia ile sio nafasi yake kiasili, ila ni moja ya wachezaji pasua kichwa sana kuna vitu anafanyaga uwanjani mpaka hua nashangaa nikweli amefanya vile.

Aisee yani ukianza kutaja majina kwa timu yetu unabaki na wachache sana micky ndio sitakagi kumuona kabisa.
 
Wapi nimekejeri,?

Nimeangalia mipira yote WA arsenal na wachelsea banda umiza,

Hao Valencia walain kama ulivyo mpira WA Spain, ndio maana alipoingia lt11, wakawa lain zaid maana tunawapress,

Frankfurt ni wanacheza mpira mgumu,nimewafananisha na Napoli, bila kukaza Leo mngetoboka, shukran kwa Loftus cheek,

Kwa analysis ya nilivyoangalia ,basi nahitimisha Valencia hana uwezo wa kushinda 2-0 ,na arsenal asipate goli,

Unakumbuka hata kwa Napoli nilimwambia ukabisha ukatangaza hadi Dau,
Mkuu upo biased sana kwenye uchambuzi wako, unakuwa kama Michael Owen akichambua soka la arsenal bwana
 
Kwanini ndugu, mm nimeangalia mipira yote, labda nikosoe wapi nipo biased
Si unajua Owen hana jema kwa arsenal, hata wacheze vizuri kiasi gani. Na wewe hata kama tumevurunda, lazima uisifie timu...
 
Pamoja na yote aliyosema bado sioni kucheza fainali na chelsea ni afadhali.

Bado chelsea inabaki kua timu kubwa na yenye wachezaji wenye uzoefu wa kucheza mashindano makubwa kwa mda mrefu.

Mimi nikiwa mshabiki wa arsenal nivyema kucheza na hao kutoka ujerumani
Tumetofautiana sana, Mimi bora nicheze na Chelsea ,kwanza rahis kuwa attack na ukapata magoli, Chelsea hii ya sarri haitishi kabisa,
 
Siko mbali sana na wewe ila Laca hana shida sana, kwangu mimi Aubemeyang anatakiwa kuongeza kiwango amekua lazy sana mipira kwake haikai kwenye matumizi ya nguvu ndo amefeli na laiti jana tusingekua na Laca kule mbele tungepata tabu sana.

Shida nyingine ni Granit pamoja na kucheza vizuri kiasi flani lakini hua ni lazy sana na kwa ulazy lazy wake amekua akipoteza mipira yenye kuhatarisha na kucheza rafu za hovyo maeneo hatarishi.

Mwingine ni yule mtoto Maitland Niles ni kweli amekua akutusaidia sana ukizingatia ile sio nafasi yake kiasili, ila ni moja ya wachezaji pasua kichwa sana kuna vitu anafanyaga uwanjani mpaka hua nashangaa nikweli amefanya vile.

Aisee yani ukianza kutaja majina kwa timu yetu unabaki na wachache sana micky ndio sitakagi kumuona kabisa.
Micky kwangu Mimi namkubali tatizo hana consistency ,

Ni moja ya wachezaji waliopo kwenye panga la emery,
 
Mkuu upo biased sana kwenye uchambuzi wako, unakuwa kama Michael Owen akichambua soka la arsenal bwana
Nimeongea nilichokiona ,kama uliangalia tactic za Jana alipokuwepo Matteo ,walikuwa angalau wanafanya mashambuliz, coz Matteo hafanyi defensive kama lt11,

Kumbuka Valencia hawana nguvu kufananisha na Napoli, ndio maana emery Jana bila wasiwasi alimuanzisha Matteo ,

Alipoingia toreira ikawa mipira inapokonywa kirahis na tuna attack kitu ambacho Matteo hakufanya, na Hakuna hatari yoyote ya kutisha walifanya kipind cha pili,

Kwa game ya Chelsea ndio game iliyokuwa ya nguvu na energy ,

Ndio maana nimehitimisha hiyo game ya Chelsea ni 50/50 , sio kama wanavyojitapa wamepita,kufananisha na Arsenal ambaye kitactic alimuwin Valencia na ana magoli matatu,
 
Si unajua Owen hana jema kwa arsenal, hata wacheze vizuri kiasi gani. Na wewe hata kama tumevurunda, lazima uisifie timu...
Hapana mm sifiagi tunapokosea,

Mech 3 zilizopita ,mech moja ni upuuz WA mustafi,

Mech 2 ni upangaji ovyo WA kikosi , maana ni dhahiri wachezaji wameshaingia kwenye 3-4-1-2

Sasa unapokuja na 4-3-3 au 4-4-2 inaleta ugumu,

Kwa Jana sijawa biased ,Jana tumecheza vzr, hata tulipofungwa goli moja ,hatukupanic TENA
 
Tumetofautiana sana, Mimi bora nicheze na Chelsea ,kwanza rahis kuwa attack na ukapata magoli, Chelsea hii ya sarri haitishi kabisa,
I dont fancy playing against Chelsea, kwa sababu hawa jamaa wanatujua in and out. Pamoja na kwamba kiwango chao kwa sasa kipo chini bado naamini better the devil you dont know than the devil you know. Angalia vitimu vidogo vya england vinavyotusumbua, ni kwa sababu wameishatusoma kikwelikweli.
 
OK, ila Mimi sijui kwann nawahitaji sana Chelsea,
 
Ikiwa arsenal tutafika final nina imani mpira utakuwa mgumu mno bila kujali ni nani tunakutana naye.
Chelsea.
Katika finali zote ambazo chelsea hukutana na arsenal hasa za FA ambazo nimeona nyingi hakika Chelsea hakuwahi kufua dafu hata awe strong namna gani.Ni wazi kuwa hapa ni timu win.
Lakini pia kuna uwezo wa makocha binafsi ktk upangaji unaweza kubadilisha hali ya hewa kwa timu yoyote.
Kwa Frankfurt ikiwa atakutana na arsenal mpira waweza kuwa mgumu zaidi kwa kuwa timu hii haitabiriki ktk matokeo na mara nyingi imekuwa ikipata matokeo yanayowashangaza wengi.Arsenal wana nafasi kubwa kuwafunga Frankfurt ikiwa watacheza mpira wao ule mwingi na kuingia mara nyingi eneo hatari kwa pasi nyingi na pia uwezekano wa kupata penalty ni mkubwa.

Nina amini arsenal tutatwaa kombe hili la europa UEFA na kuondoa gundu la kutopata vikombe vikubwa.

We are the gunners forever.
 
Arsenal tumeshatinga Fainal Europa league Valencia hawawezi kututoa

Kwa matokeo haya tuna nafas kubwa ya kucheza na Chelsea

Na bora tucheze na Chelsea kuliko wale wajerumani ,
Heheee.. Usiombe kukutana na Chelsea hii mbovu. Kwa baki yako ile, kwa pazia lako lile.? Mbona itakua mteremko sana.

Hazard akilenga Imooo
Barkley akilenga Imooo
Gitoud akilenga Imooo
Willian ndio usiseme.

We jamaa naomba uwe na akiba ya maneno.
 
Pamoja na yote aliyosema bado sioni kucheza fainali na chelsea ni afadhali.

Bado chelsea inabaki kua timu kubwa na yenye wachezaji wenye uzoefu wa kucheza mashindano makubwa kwa mda mrefu.

Mimi nikiwa mshabiki wa arsenal nivyema kucheza na hao kutoka ujerumani
Hata yeye alitaka sema hiki ulichokisema hapa.

Kwa bahati mbaya upofu wa ushabiki ukam push kuzungumza kinyume
 
Back
Top Bottom