Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niungane na wewe tatizo siyo wachezaji tatizo ni kocha hana uwezo kwa wenga tumecheza na chasea Mara mbili fa cup zote arsenal kashinda kwa wachezaji hawa hawa wa mia mbili tukubari Mwalimu hayupo.
Umecheza na Chelsea FA cup mara moja tu.
 
Arsenal tunakosea wapi sisi yaani wenzetu wanafurahia makombe Chelsea Liverpool Manchester city sisi kila siku kilio tu dah haya maisha ya ushabiki haya
 
IMG_5168.JPG
 
Arsenal tuna gundu Ulaya.. Wiki iliyopita niliota tumefungwa goli 6,ndoto inaweza kutimia. Na wiki itazidi kuwa mbaya Sababu Spurs watawafunga Liverpool 2-1.
Nadhan sasa umeona tofauti ya ndoto na uhalisia
 
Arsenal na nini chanzo cha Anguko Lao!

I think Kroenke kama ni sehemu ya kulaumiwa ni yeye kutofanya ruthless decision.

Financially wise number zinaonesha Arsenal wako wanatumia hela nyingi sana au wametumia hela nyingi vibaya kwa miaka ya hivi karibuni

As we stands

1) Arsenal inashika nafasi ya 3 kwenye ligi ya uingereza kulipa mishahara mikubwa *(we are behind Manchester Clubs)*

2. Arsenal wage bill is bigger than Tottenham, Real Madrid, Liverpool, Chelsea, Juventus, ATM, inter Milan, Dortmund, Bayern Munich

3. Arsenal has spent big kuanzia 2013 mpaka leo. Takwimu zinaonesha Kroenke kama mmiliki wa timu faida yote anayoipata kwa Arsenal, haichukui.

Yote inarudi kwenye timu. Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo Arsenal under KSC management imefanya haya mambo

1) imejengwa academy mpya inaitwa Hale End (the second expensive in England)

2. Arsenal under KSE imenunua kampuni ya stats inaitwa StatDNA kwa ajili ya kusaidia usajili.

3. Arsenal imesajili specialist wawili wa Afya, Mmoja kutoka Australia na mwingine kutoka Skyteam. Hawakuja peke yao, walikuja na timu zao-hii yote ni kupunguza idadi ya majeraha

4. Arsenal under KSE imewekeza kwenye data. Msimu huu wakati unaanza walimnunua Project manager wa game maarufu ya Candy crush.

5. Arsenal under KSE wamemnunua scouts kutoka Dortmund, kutoka Leceister, wamemnunua Raul kutoka Barcelona. All these are paid big money

6. Arsenal under KSE walilipa fidia ya mikataba ya Wenger na jopo lake la ufundi baada ya kuvunja mikataba yao. Inasemekana wamewalipa jumla ya paundi milion 20 na zaidi.

7. Arsenal under KSE have bought players like Ox, Santi, ozil, podolski, chambers, mustafi, Xhaka, ozil, sanches, mikhitryan, welbeck, Aubamayeng, Lacazette.

*Also hiki kipindi kimeruhusu wachezaji kama Ramsey, wilshere, welbeck, santi kuondoka bure*

-90% ya hawa wachezaji wameondoka bure, it means return on investment haijaonekana.

-Mikataba mibovu na mikubwa kwa wachezaji kama Ozil na Mikhitryan haijakaa vizuri kibiashara.

*Naomba nisieleweke vibaya*

In no way namtetea Kroenke hapa. But nafikiri kwa mtu ambae hana mahaba yyt na timu na amekaa kibiashara ni ngumu yeye kutoa hel yake mfukoni kwenye mazingira kama haya because inaonekana klabu inaoperate nje ya expectation za kibiashara, pamoja na kwamba inaingiza faida kwa njia nyingine.

Kroenke na Josh ni wazi kabisa hawajihusishi na Arsenal. Ni kweli kabisa hawana habari na hii Arsenal.

*Ndo maana wameajiri wakurugenzi wawili. Raul na Vinai*

Hawa ndo watashughulikia operation zote za timu. Hawa ndo watakoajiri makocha, watakaojiri Technical and Sporting director.

Kroenke na Josh wanajua kabisa mambo ya mpira hawajui, but a guy like Raul has been in football business for 30 years tena na klabu kama Barcelona.

Kroenke ameeka imani yake kwa huyu mtu, mimi nafikiri hapa ndo penye stake.

Hata Shekhe Monsour wa Mancity amekabidhi timu kwa wale majembe kutoka Barcelona. Then kuna representative mmoja huwa yupo nao mara nyingi kama mnamuona.

I can't blame kroenke kwa 100%. He didnt appoint Unai, he doesn't know anything about Unai

Yeye anaangalia kama balance sheet zake ziko sawa.

Kwa vitu vyote hivi, i think Unai na jopo lake la ufundi from Raul, Vinai has to be responsible.

Nimechoka kuandika aiseeee

But this is more complex than we think it is.

Kroenke na Josh wanataka Arsenal iendeshwe kisasa.

Hapo nyuma kuna uozo mwingi sana umefanyika under Ivan Gazidis

Sasa saivi ndo inatutafuna.

Ndo maana wamekabidhi timu kwa Raul na Vinai.

Hawa ndo inabidi tukate vichwa vyao. Inaonekana Kwa sababu ya maamuzi mabovu yaliyofanyika huko nyuma sasa hivi tunapata tabu sana.

Hasa kwenye swala la fedha.
 
We ulitaka Mikhtaryan alipwe pauni laki moja wakati hata Ramsey ana zaidi ya laki moja ?
 
Man u kirus chao wanasema Woodward nyie mnasema vinai Hali hii utafika wakat had mashabik mtanyosheana vidole kuwa mashabik wa upande fulan hawana vibe ndio maana timu inafungwa

Sisi Ndio timu pekee tunaoleta makombe London. Engine mtaendelea kutusindikiza.. Hakuna namna..
 
Asante mkuu....sikujua baadhi ya vitu
 
Mimi kwa upande wangu simlaumu sana unai......no msimu wake was kwanza na kikosi bado kina uwenger Wenger......nilikuwa namlaumu bosi ila according to maelezo ya bwana Aron hapo na yeye hana makosa makubwa....ni msimu ujao ndipo tutakapojua unai anatufaa au la....kwa arsenal ilipokuwa imefikia sidhani kama tungepanda haraka m o kama wengi walivyodhani.....kuna watu wanasema eti ndo decline yetu!!! HAPANA....hebu itazame Liverpool ya klopp ya sasa....linganisha na ile ya misimu kama minne hivi iliyopita chini ya klopp huyohuyo...liva ile ilikuwa inachechemea hadi uropa...ona leo inavyotesa ulaya...hivyo basi ngoja unai aingize mfumo wake ili tuone kufaulu na kufeli kwake kisha tufanye maamuzi.
 
Bila hela tutaendelea kusindikiza wenzetu kuchukua ubingwa na tunapoelekea hata FUTUHI hatutoshiriki.
 
AROON
Kumbe haya ulijua bada ya kufungwa na Chelsea goli 4 tatizo mnaweka ushabiki mbele kuliko uhalisia
Arsenal na nini chanzo cha Anguko Lao!

I think Kroenke kama ni sehemu ya kulaumiwa ni yeye kutofanya ruthless decision.

Financially wise number zinaonesha Arsenal wako wanatumia hela nyingi sana au wametumia hela nyingi vibaya kwa miaka ya hivi karibuni

As we stands

1) Arsenal inashika nafasi ya 3 kwenye ligi ya uingereza kulipa mishahara mikubwa *(we are behind Manchester Clubs)*

2. Arsenal wage bill is bigger than Tottenham, Real Madrid, Liverpool, Chelsea, Juventus, ATM, inter Milan, Dortmund, Bayern Munich

3. Arsenal has spent big kuanzia 2013 mpaka leo. Takwimu zinaonesha Kroenke kama mmiliki wa timu faida yote anayoipata kwa Arsenal, haichukui.

Yote inarudi kwenye timu. Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo Arsenal under KSC management imefanya haya mambo

1) imejengwa academy mpya inaitwa Hale End (the second expensive in England)

2. Arsenal under KSE imenunua kampuni ya stats inaitwa StatDNA kwa ajili ya kusaidia usajili.

3. Arsenal imesajili specialist wawili wa Afya, Mmoja kutoka Australia na mwingine kutoka Skyteam. Hawakuja peke yao, walikuja na timu zao-hii yote ni kupunguza idadi ya majeraha

4. Arsenal under KSE imewekeza kwenye data. Msimu huu wakati unaanza walimnunua Project manager wa game maarufu ya Candy crush.

5. Arsenal under KSE wamemnunua scouts kutoka Dortmund, kutoka Leceister, wamemnunua Raul kutoka Barcelona. All these are paid big money

6. Arsenal under KSE walilipa fidia ya mikataba ya Wenger na jopo lake la ufundi baada ya kuvunja mikataba yao. Inasemekana wamewalipa jumla ya paundi milion 20 na zaidi.

7. Arsenal under KSE have bought players like Ox, Santi, ozil, podolski, chambers, mustafi, Xhaka, ozil, sanches, mikhitryan, welbeck, Aubamayeng, Lacazette.

*Also hiki kipindi kimeruhusu wachezaji kama Ramsey, wilshere, welbeck, santi kuondoka bure*

-90% ya hawa wachezaji wameondoka bure, it means return on investment haijaonekana.

-Mikataba mibovu na mikubwa kwa wachezaji kama Ozil na Mikhitryan haijakaa vizuri kibiashara.

*Naomba nisieleweke vibaya*

In no way namtetea Kroenke hapa. But nafikiri kwa mtu ambae hana mahaba yyt na timu na amekaa kibiashara ni ngumu yeye kutoa hel yake mfukoni kwenye mazingira kama haya because inaonekana klabu inaoperate nje ya expectation za kibiashara, pamoja na kwamba inaingiza faida kwa njia nyingine.

Kroenke na Josh ni wazi kabisa hawajihusishi na Arsenal. Ni kweli kabisa hawana habari na hii Arsenal.

*Ndo maana wameajiri wakurugenzi wawili. Raul na Vinai*

Hawa ndo watashughulikia operation zote za timu. Hawa ndo watakoajiri makocha, watakaojiri Technical and Sporting director.

Kroenke na Josh wanajua kabisa mambo ya mpira hawajui, but a guy like Raul has been in football business for 30 years tena na klabu kama Barcelona.

Kroenke ameeka imani yake kwa huyu mtu, mimi nafikiri hapa ndo penye stake.

Hata Shekhe Monsour wa Mancity amekabidhi timu kwa wale majembe kutoka Barcelona. Then kuna representative mmoja huwa yupo nao mara nyingi kama mnamuona.

I can't blame kroenke kwa 100%. He didnt appoint Unai, he doesn't know anything about Unai

Yeye anaangalia kama balance sheet zake ziko sawa.

Kwa vitu vyote hivi, i think Unai na jopo lake la ufundi from Raul, Vinai has to be responsible.

Nimechoka kuandika aiseeee

But this is more complex than we think it is.

Kroenke na Josh wanataka Arsenal iendeshwe kisasa.

Hapo nyuma kuna uozo mwingi sana umefanyika under Ivan Gazidis

Sasa saivi ndo inatutafuna.

Ndo maana wamekabidhi timu kwa Raul na Vinai.

Hawa ndo inabidi tukate vichwa vyao. Inaonekana Kwa sababu ya maamuzi mabovu yaliyofanyika huko nyuma sasa hivi tunapata tabu sana.

Hasa kwenye swala la fedha.
 
Nasikia Unai kapewa pound mil 40 tu namshauri amnyake Samatta chap maana ana thamani ya pound mil 12. Akizubaa apo ndo basi tena.

Sasa nyie arsenal munatofauti gani na Sisi ambao hatusajili kabisa
 
Huyu Sanllehi nadhani angemuuza tu Aubameyang huko China, hizo paund mil 80 zingewaleta Ziyech na zaha Afu na impact itakua kubwa sana kuliko tukibaki na Aubameyang.Zaha na Ziyech ni wasumbufu sana, nawapenda wale ni wapambanaji, ni kiboko ya mabishoo wote mjini.
 
Arsenal na nini chanzo cha Anguko Lao!
I think Kroenke kama ni sehemu ya kulaumiwa ni yeye kutofanya ruthless decision.
Financially wise number zinaonesha Arsenal wako wanatumia hela nyingi sana au wametumia hela nyingi vibaya kwa miaka ya hivi karibuni
As we stands
1) Arsenal inashika nafasi ya 3 kwenye ligi ya uingereza kulipa mishahara mikubwa *(we are behind Manchester Clubs)*
2. Arsenal wage bill is bigger than Tottenham, Real Madrid, Liverpool, Chelsea, Juventus, ATM, inter Milan, Dortmund, Bayern Munich
3. Arsenal has spent big kuanzia 2013 mpaka leo. Takwimu zinaonesha Kroenke kama mmiliki wa timu faida yote anayoipata kwa Arsenal, haichukui.
Yote inarudi kwenye timu. Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo Arsenal under KSC management imefanya haya mambo
1) imejengwa academy mpya inaitwa Hale End (the second expensive in England)
2. Arsenal under KSE imenunua kampuni ya stats inaitwa StatDNA kwa ajili ya kusaidia usajili.
3. Arsenal imesajili specialist wawili wa Afya, Mmoja kutoka Australia na mwingine kutoka Skyteam. Hawakuja peke yao, walikuja na timu zao-hii yote ni kupunguza idadi ya majeraha
4. Arsenal under KSE imewekeza kwenye data. Msimu huu wakati unaanza walimnunua Project manager wa game maarufu ya Candy crush.
5. Arsenal under KSE wamemnunua scouts kutoka Dortmund, kutoka Leceister, wamemnunua Raul kutoka Barcelona. All these are paid big money
6. Arsenal under KSE walilipa fidia ya mikataba ya Wenger na jopo lake la ufundi baada ya kuvunja mikataba yao. Inasemekana wamewalipa jumla ya paundi milion 20 na zaidi.
7. Arsenal under KSE have bought players like Ox, Santi, ozil, podolski, chambers, mustafi, Xhaka, ozil, sanches, mikhitryan, welbeck, Aubamayeng, Lacazette.
*Also hiki kipindi kimeruhusu wachezaji kama Ramsey, wilshere, welbeck, santi kuondoka bure*
-90% ya hawa wachezaji wameondoka bure, it means return on investment haijaonekana.
-Mikataba mibovu na mikubwa kwa wachezaji kama Ozil na Mikhitryan haijakaa vizuri kibiashara.
*Naomba nisieleweke vibaya*
In no way namtetea Kroenke hapa. But nafikiri kwa mtu ambae hana mahaba yyt na timu na amekaa kibiashara ni ngumu yeye kutoa hel yake mfukoni kwenye mazingira kama haya because inaonekana klabu inaoperate nje ya expectation za kibiashara, pamoja na kwamba inaingiza faida kwa njia nyingine.
Kroenke na Josh ni wazi kabisa hawajihusishi na Arsenal. Ni kweli kabisa hawana habari na hii Arsenal.
*Ndo maana wameajiri wakurugenzi wawili. Raul na Vinai*
Hawa ndo watashughulikia operation zote za timu. Hawa ndo watakoajiri makocha, watakaojiri Technical and Sporting director.
Kroenke na Josh wanajua kabisa mambo ya mpira hawajui, but a guy like Raul has been in football business for 30 years tena na klabu kama Barcelona.
Kroenke ameeka imani yake kwa huyu mtu, mimi nafikiri hapa ndo penye stake.
Hata Shekhe Monsour wa Mancity amekabidhi timu kwa wale majembe kutoka Barcelona. Then kuna representative mmoja huwa yupo nao mara nyingi kama mnamuona.
I can't blame kroenke kwa 100%. He didnt appoint Unai, he doesn't know anything about Unai
Yeye anaangalia kama balance sheet zake ziko sawa.
Kwa vitu vyote hivi, i think Unai na jopo lake la ufundi from Raul, Vinai has to be responsible.
Nimechoka kuandika aiseeee
But this is more complex than we think it is.
Kroenke na Josh wanataka Arsenal iendeshwe kisasa.
Hapo nyuma kuna uozo mwingi sana umefanyika under Ivan Gazidis
Sasa saivi ndo inatutafuna.
Ndo maana wamekabidhi timu kwa Raul na Vinai.
Hawa ndo inabidi tukate vichwa vyao. Inaonekana Kwa sababu ya maamuzi mabovu yaliyofanyika huko nyuma sasa hivi tunapata tabu sana.
Hasa kwenye swala la fedha.
we mkifungwa ndio unakuja na visababu vyako uchwara, ila kabla ya game wewe ni hodari wa kubinua mdomo kwamba mtashinda, mpira hauchezwi mdomoni, timu yenu ni mbovu mbovu sijapata kuona yani imeoza
 
Back
Top Bottom