Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa Valencia walain sana,Tatizo Matteo hapress katikati kupeleka mipira,

Na wish aingie lt11, tutawalamba nyingi
 
Ila auba naye anazingua sana
Kazingua hii chance ya mwisho,

Hapo kati nataka aingie lt11,

Angekuwepo Ramsey, wangeoga nyingi, hawawez mpira mgumu kabisa

All in All,vijana wawe makin tuongeze magoli

Ni heri kukutana na Chelsea final, sio Frankfurt ,nawaangalia hapa wanapiga mpira mgumu na wakasi sana
 
Kweli kabisa mkuu inabidi tushinde hata nne jamaa washapata goli la ugenini yasije kutukuta ya juve

Back
Top Bottom