OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Anashinda nini mkuu ..njaa au!!Arsenal anashinda believe me
Anashinda nini mkuu ..njaa au!!Arsenal anashinda believe me
Ulifanya cha maana mnooo.Daaa Yani, kidogo nifanye hivo but nikaairisha.Nilikata tamaa.Nikaona Bora nile papuchi tu,maana ipo pembeni hapa
Mkuu hakuna kocha pale. Utaniambia msimu unaokuja.Unai Emery huu ni msimu wake wa kwanza Arsenal na amerithi matatizo makubwa ambayo huenda anajuta kuja Arsenal.
kocha yupo ila ni players ni wakufagia tutamuangalia msimu ujaoMkuu hakuna kocha pale. Utaniambia msimu unaokuja.
Actually asernal wametualibia final walikuwa dhaifu mno oo sis Chelsea uwa tunacheza finals za kibabeTuseme ukweli Arsenal was overrated.






Kwani yeye ndiyo msemaji wa timuMkuu AROON alikuwa anasema timu ikifuzu UCL Budget ya usajili itakuwa £ 100 ml nadhani sasa itakuwa imebakia £ 7 ml
Mkuu nilisahau kuwa hii ni ArsenalHahahahahaha bado Spurs London London London London London![]()
Unai naye mshenzi tu. Czech alishaagwa pamoja na Ramsey na tunaambiwa anakwenda Chelsea kuwa mkurugenzi wa michezo. Unamchezesha wa nini????. Hovyo kabisa
[/QUOTE
Mambo yaliendaje mkuuUP GUNNERS....!! LETS GO AND RECLAIM OUR STATUS AS KINGS OF LONDON TONIGHT.
WE'VE BEEN WALKING OVER THESE ARROGANT NEIGHBORS IN THE LAST FIVE FINALS WE MET, SO THE PSYCHOLOGICAL ADVANTAGE IS IN OUR SIDE AND IT'S GONNA PLAY BIG PART TODAY.
ARSENAL 3-1 CHELSEA FT.
ARSENAL IS THE WINNER OF EUROPA LEAGUE 2018/2019.
bila shaka utakua umewakimbiaPunda afe mzigo ufike Aise Chelsea asishinde leo tuko pamoja hapa
Mkuu nilisahau kabisa kuwa hii ni Arsenalbila shaka utakua umewakimbia
mambo vip mkuu, mm nimekuja sasa, haaaahaaa29thMay njoo uongee hii pumba.
Siyo kazi yako kupangia laifu staili wengine ilhali we mwenyewe yako yamekushinda



Timu mbovuu dunia nzimaa...Kama hiyo yako?Timu mbovuu dunia nzimaa...
mwanaume ndio nimekuja, unasemaje sasa, utatoa hutoiMay 29 njoo utambe humu ,nitaamini ww mwanaume
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Kweli mmemgonga za kutoshaWewe cheltako mbona una mdomo sana ,ngoja nione hata fainal kama utafika nikugonge zakutosha