paulista hajui kingereza hivyo ni vigumu kuwasiliana na timu yake walcott hakuanza maana wenger alihofia mashambulizi kwani welbeck ni mkabaji mzuri na ana ubavu, ila alitakiwa kuingia mapema baada ya monaco kutoshambulia sana, pia bellerin ni kinda mahir sana chamberlain ndo kwanza katoka majeruhi asingeweza kuanza tatizo limekuja baada ya kukosekana kiungo imara wakusumbua beki zao na kupiga mashut golin kwao nae huyu ni Ozil aliyecheza 10 badala ya carzola na rosicky alitakiwa kuanza nafas aliyo kuwa anacheza carzola.
Leo ozil alitakiwa kuanza bench ama kupigwa sab mapema
aliyoyasema henry baada ya mechi ya man city ndo haya tumeyaona leo alisema juu ya carzola kucheza 10 na anavyoibeba timu naamini angecheza 10 hata mambo yangekuwa tofaut sana