Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matokeo yasingekuwa haya endapo cazorla angecheza 10 na Rosicky acheze 8, cazorla ni uti wa mgongo ktk mashambulizi na hakika angebadili matokeo
 
Hii ni fedheha kubwa sana kiongozi. AS Monaco kutupiga 3-1 Emirates!!! If I were Wenger ningebwaga manyanga.

Tatizo tulibweteka, na pia wachezaji hadi Wenger ktk press jana alibweteka kuwa AS monaco ni kama walk in the park!! Hakusema haya maneno moja kwa moja ila ktk maneno yake alionesha kuwa sasa ni muda wa kutoa lile gundu la raund ya 16.
Ila ni mapumziko, tusubiri round ijayo ingawa SIONI tukifanya cha ajabu ila kama wametufunga kwetu basi na sisi tunaweza wafunga kwao!
 
Ghafla nilitamani ningekua kocha wa Arsenal yaani baada ya sab za wenger nikajawa na kujiamini kabisa etu kuwa ata mimi naweza ifundisha Arsenal
 
Nzi

Wenyeji wapo wapi kwenye jukwaa hili?

Kumbe hawa jamaa wanakuwa wapo active Utd akifungwa au akitoka sare

ImageUploadedByJamiiForums1424902019.687814.jpg
rubaman mjanja aliaga mapema kabisa.. BAK sijui kapotelea wapi, hata updates hajatoa leo.. Mbu sijui kapatwa na nini Balantanda is always here?!? I doubt it 😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Defence yetu mgogoro hili siyo siri, maji marefu kwenye mchezo ujao but we're capable of beating them 3-0 provided that we play with sense of purpose and determination.

Mkuu poleni lakini yote yanawezekana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna mahali Wenger ameshindwa, Kuna sehemu tactics za Wenger zimefeli. Ni fedheha sana...

zimefeli baada ya cazorla kucheza 6 badala ya kucheza 10 na rosicky nyuma yake hlf ozil na giroud walitakiwa kwenda bench mapema baada ya half time pia Per alikuwa hovyo sana
 
Ghafla nilitamani ningekua kocha wa Arsenal yaani baada ya sab za wenger nikajawa na kujiamini kabisa etu kuwa ata mimi naweza ifundisha Arsenal

Kwa kweli babu sub zake ni utata! Ila ye ndo anawajua wachezaji wake vizuri, tumuachie hilo.
 
Defence yetu mgogoro hili siyo siri, maji marefu kwenye mchezo ujao but we're capable of beating them 3-0 provided that we play with sense of purpose and determination.

Haionekani kuwa mna defense mgogoro.
Mgogoro anautengeneza Wenger. Amenunua mchezaji Bautista aliyekuwa anategemewa na timu yake kule Spain, ameamua kumweka bench na kumchezesha mtoto kinda, Belarin.

Mchezaji kama Walcott, Chamberlain, Roziscky wanaingizwa inapokuwa hali imekuwa mbaya.

Tatizo liko kwenye upangaji wa kikosi na wakati muafaka wa kufanya substitutions.

Lakini sio utani bana, leo jamaa wa Arsenal walikuwa wamefunga mawe mazito miguuni. na hawakuwa wakicheza kama timu kama vile walicheza na Man. City.

Arsenal ilinunua kufungwa leo.
Msijali mko nafasi ya tatu katika PL mkibakia hapo, mtaingia tena CL mwakani.

Mabao 3-1 mjiisabu kuwa mmetupwa nje ya ulingo hata kama ni Monaco. Milango ya miujiza katika soka imeshafungwa!!

Msubiri tarehe 01March ili Wenger awajambishiee.
 
"He's a specialist in failure," continued Mourinho. "If I do that in Chelsea, eight years, I leave and don't come back."
 
zimefeli baada ya cazorla kucheza 6 badala ya kucheza 10 na rosicky nyuma yake hlf ozil na giroud walitakiwa kwenda bench mapema baada ya half time pia Per alikuwa hovyo sana

Carzola alikuwa akicheza vizuri sana pale alipo Ozil sasa wakati Ozil alipokuwa majeruhi, sasa babu naona kamrudisha Ozil pale na kumshusha Carzola, naona babu analazimisha ku-justify price tag ya Ozil pamoja na kwamba imefeli.
Wanasema you don't change the winning team, wenger keep on changing tola mechi ya mancity ili kumu-accomodate Ozil. Pia umefika wakati Per awe squad player!
 
Yote kwa yote naamini Szczesny ni bora kuliko Ospina. Angeweza kuchomoa angalau goli la 1 & la 3
 
Wenger anampenda sana Ozil, nimetambua tena hilo, na hampendi Carzola.
Hongera kwa AS Monako.

kwel hii mech ilibidi ozil aende bench kabla ya dk 45 maana hii game inahitaji misuli na nguvu hlf rosicky aingie na carzola asogee mbele, nimeumia sana ila nitaumia zaidi endapo man u watatutoa FA
 
Tatizo tulibweteka, na pia wachezaji hadi Wenger ktk press jana alibweteka kuwa AS monaco ni kama walk in the park!! Hakusema haya maneno moja kwa moja ila ktk maneno yake alionesha kuwa sasa ni muda wa kutoa lile gundu la raund ya 16.
Ila ni mapumziko, tusubiri round ijayo ingawa SIONI tukifanya cha ajabu ila kama wametufunga kwetu basi na sisi tunaweza wafunga kwao!

2-1 mngejipa tamaa, 3-1 ni kibarua kizito, almost impossible.
3 Away goals for Monaco, tayari wameshinda bahati nasibu.
 
Yote kwa yote naamini Szczesny ni bora kuliko Ospina. Angeweza kuchomoa angalau goli la 1 & la 3

hakuna goli angechomoa hata 1 yote hayana uzembe wa kipa tena ingekuwa yeye pale alipotoka ospina na kuokoa yeye angefanya yale aliyowafanyia soton
 
Yote kwa yote naamini Szczesny ni bora kuliko Ospina. Angeweza kuchomoa angalau goli la 1 & la 3

Leo atakuwa kafurahi Szczesny, ila kwa goli la kwanza, lilikuwa jiwe na pia deflection ya Per.
Labda la tatu, kama angejiweka vizuri, angeweza utoa nje kidogo, hakukuwa na uzembe wa kipa.
Lakini ukweli unabaki, Arsenal haina a commanding goalkeeper!! Tulio nao ni average.
 
Back
Top Bottom