Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na goons wakipaniki tu, wanakula goli za kutosha 😂😂😂😂

Arsenal wakitolewa na hii timu watakuwa wamepoteza bahati ambazo hazitokei mara nyingi... kupangiwa na kibonde

Ila ndio dalili zote zinaonyesha stage hii ndio hitimisho ka safari ya goons
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wee acha tu...nilikuwa nakula Jackerz hapa huku nikiwa nimejilaza kwenye sofa lakini baada ya kufungwa lile goli zile Jackerz nimezitupa na hapa naona nyota nyota tu

Ila usije ukavaa kamba kama wafanyavyo mashabiki wa Arsenal wa kule Kenya pindi arsenal inapopata matokeo mabovu.
 
aseno kama vile mmerogwa...au mmelewa? ona sasa mmenichania mkeka!
 
babatoooovu! ndio basi tena. la kuvunda halina ubani...na mdharau mwiba mguu huota tende. mnajifanya barcelona kushambulia hadi akina gibsi wanaingia kwenye boksi, cha moto mmekiona.

Sijui naye wamuite msaliti kama vile RVP? Safi sana Babatov utu uzima dawa......
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wapiga bunduki walio geuka warusha mishale!

Ndugu yangu rubaman na Wacha1 hamna haja ya kusononeka wala kutukimbia hapa!Ndiyo soka kaka
 
Last edited by a moderator:
Siku ya kufa nyani miti yote...mmejitahidi lakini kama vile bahati siyo yenu,nafasi nyingi mmepata lakini ndo vile.....
 
ImageUploadedByJamiiForums1424898720.377179.jpg

Jamaa alikuwa hajafunga UCL msimu huu...kawapiga hawa goons 😂😂😂
 
Back
Top Bottom