Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Mtazamo wangu: Naona kabisa combination ya ozil, welbeck, giroud pale mbele haina consistence. Alafu wenger kumtia cazorla km mido badala ya 10 nayo inaleta mushkeli kidogo.
Usijali mtashinda 2-1
Hii timu ni majanga!!...yaani tumeshambuliaweeee then end of the time tumejifunga wenyewe? Inasikitisha sana
Mtazamo wangu: Naona kabisa combination ya ozil, welbeck, giroud pale mbele haina consistence. Alafu wenger kumtia cazorla km mido badala ya 10 nayo inaleta mushkeli kidogo.
Mtazamo wangu: Naona kabisa combination ya ozil, welbeck, giroud pale mbele haina consistence. Alafu wenger kumtia cazorla km mido badala ya 10 nayo inaleta mushkeli kidogo.
Everybody thought it was a dream draw for aseno but it is slowly turning to be a nightmare!
Ngoma ya watoto haikeshi mkuu.....
Wee acha tu...nilikuwa nakula Jackerz hapa huku nikiwa nimejilaza kwenye sofa lakini baada ya kufungwa lile goli zile Jackerz nimezitupa na hapa naona nyota nyota tu
Mkuu Shefwaa Ulishawahi kuwa hata kocha wa timu za mtaani kwenu!!!!
2-1...haisaidii. Hapa tumewakosa kabisa inatakiwa tuwachape goli 3
Monaco safi sana
hv aseno mchezaji kama huyu gibsi mlimtoa wapi? wachezaji wenu hawa wa mafungu watawagharimu sana.