Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1424898784.325782.jpg

Stats za Giroud hizo 😂😂😂😂
 
Sijui naye wamuite msaliti kama vile RVP? Safi sana Babatov utu uzima dawa......

lakini hata hivyo tageti zao zimetimia...matarajio yao ni kushiriki mashindano kila mwaka. mpaka sasa aseno ndio washiriki bora wa mashindano haya...wameshiriki mara 16 mfululizo. chezea aseno na profesa wao wewe!
 
Arsenal fans on WENGER:

in out in
out out
in \_ in
out out
in out in

😂😂😂😂😂
 
lakini hata hivyo tageti zao zimetimia...matarajio ni kushiriki mashindano kila mwaka. mpaka sasa aseno ndio washiriki bora wa mashindano haya...wameshiriki mara 16 mfululizo. chezea aseno na profesa wao wewe!

Hao ndo Wawakilishi wetu wa ukweli wengine tuna miaka miwili hatujafika hapo,lol
 
Nyie Arsenal vipi? Ninachoona hapa si mashabiki tu walioidharau hii Monaco bali ata wachezaji wa Arsenal waliingia kwa kuidharau Monaco na kujipa matumaini match itakua easy na kuwachapa nyingi awa Monaco sasa wameshangaa ata wao wachezaji mle ndani huenda wameshajisahau kama wapo nyuma kwa goal mbili then pia huenda wanahisi hawapo Emirates.....aisee nyie Arsenal bana mliidharau sana Monaco acheni dharau mnaona sasa mmeshawapa magoli mengi ya ugenini
 
Maskin Wenger angekuwa amezaliwa bongo huyu mzee sijui angekuwa anafundisha timu gani manake hiz za kariakoo angekuwa ameshatupiwa virago.
 
lakini hata hivyo tageti zao zimetimia...matarajio ni kushiriki mashindano kila mwaka. mpaka sasa aseno ndio washiriki bora wa mashindano haya...wameshiriki mara 16 mfululizo. chezea aseno na profesa wao wewe!

Target yao ni hii kwa msimu: kuhakikisha katika EPL wanashika nafasi ya 4 ili waingie kwenye UCL, halafu waishie round ya mtoano ili warudi EPL na kupata muda wa kupigania nafasi ya 4 ili waingie UCL, halafu waishie round ya mtoano ili warudi EPL na kupata muda wa kupigania nafasi ya 4 ili......... endeleza mwenyewe
 
Ningeshangaa kuona ngoma ya watoto inakesha leo!!!!! Acha wagongwe ili waelekeze nguvu zao kupigania top 4....,.....ha ha ha ha ha ha
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom