tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,862
- 25,171
Hopefully kiongozi...!
Tunataka kipa atayewezesha matokeo mazuri.
kipa bora bila mabeki bora, ni BURE!
Hopefully kiongozi...!
Tunataka kipa atayewezesha matokeo mazuri.
Let's face it, AS Monaco sio giant katka european football, jana wameshinda na wao wamekiri, hadi prince wao walikuwa pia uwanjani, wamekiri kuwa walikuja kuitafuta droo ila wamevuka mipango, sasa issue kwao inakuja kisaikolojia sasa hivi wao ni favorites kusonga, na watajiona wamemaliza kazi, hapo ndo ugumu wa mechi ya pili unapokuja kwao. Ni kama Ndanda FC wameifunga Barca round ya kwanza, lazima wataenda likizo kusheherekea na kujisahau kidogo round ya pili.
Hii gemu bado ipo mbichi, tunaenda kwao na kipindi cha kwanza tutatoka 2-0 tunaongoza, na ngoma itaisha 4-1, HII SIO NDOTO, ndo habari yenyewe.
Nilikuwa nawajibika mchana kutwa, unajua mambo ya huku yalivyo. Sikuweza kuangalia mechi zaidi ya kufuatilia online. Matokeo mabaya sana haya. Arsenal tuna gundu fulani katika CL, hadi litakaposafishwa ndo tutaweza kufanya vizuri.
kipa bora bila mabeki bora, ni BURE!
Mzee ni 2003-2004 Arsenal alifungwa e bila Highbury na Inter , walivyokwenda San Siro wakashinda 5 - 1. Lakini ilikua ni katika group stages na Arsenal ilikua lazima ishinde.
Haters mmefurahi mpaka hamfikirii vizuri, pamoja na mdau kusema QF na sio group stage, ila scenario zinafanana, ni mechi ya away kwa Arsenal ambayo watatakiwa washinde si chini ya gepu ya goli 3 kuweza kuwa na chance ya kupita au kupita.
Mapenzi ni upofu, ac Monaco sio giant hata arsenal sio giant wa ecl! Kushiriki Mara kwa mara hakufanyi uwe giant Bali kushinda kombe Mara kwa Mara. As Monaco wamefika fainali 2004 wakatolewa na mourinhos Porto Kama nyinyi tu mlivyofika fainali 2006. Turudi kwenye mechi ya Jana,mlifurukuta dakika tano za kwanza tu baada ya hapo Monaco waliwatuliza,na ujue Monaco wamewakosa wachezaji watano waliotakiwa kuanza, sisemi kuwa mmeshatolewa Bali mtakachokutana nacho mechi ya marudiano ni kigumu kuliko cha Jana.
Let's face it, AS Monaco sio giant katka european football, jana wameshinda na wao wamekiri, hadi prince wao walikuwa pia uwanjani, wamekiri kuwa walikuja kuitafuta droo ila wamevuka mipango, sasa issue kwao inakuja kisaikolojia sasa hivi wao ni favorites kusonga, na watajiona wamemaliza kazi, hapo ndo ugumu wa mechi ya pili unapokuja kwao. Ni kama Ndanda FC wameifunga Barca round ya kwanza, lazima wataenda likizo kusheherekea na kujisahau kidogo round ya pili.
Hii gemu bado ipo mbichi, tunaenda kwao na kipindi cha kwanza tutatoka 2-0 tunaongoza, na ngoma itaisha 4-1, HII SIO NDOTO, ndo habari yenyewe.
Hehehe pole Rubaman naona umezitaja timu Ya Nzi DonDonald na Malafyale hizo zimebeba CL so hazina papara sana ila Arsenal ndio kwanza Halftime ni kwenda Kule half Ya kwanza wapige 2-0 then chochote kitatokea.... Ila Jana Arsenal hawakucheza vibaya ukiwaacha mabeki manager alikosea kumtoa Geroud japo alizikosa nafasi angebaki uwanjani angefunga tu, Mie kwa mara Ya kwanza ndio nakubaliana na wanaosema mpira Uengereza umeisha imebakia matangazo tu na uwezo wa pesa kununuwa wachezaji pesa nyingi na kuwalipa mishahara ya Laki Tatu Wakae hata Bench Soka kwa sasa ni Spain timu mbili na Ujerumani hasa Italy kama Ac na Inter zitakaa sawa ligi yao itarudisha heshima, tizama Roma na Juve na Napoli. CL timu yoyote inauwezo wa kushinda mtoano kama Final Sema Kombe mpaka sasa uwezo wa Kubeba ni Juventus. Mbu upo au Umenyonya damu sio? Nzi atakupatia dawa anajuwa dawa za maumivu.Nimeona tumepigwa na counter attacks. Tulikuwa exposed kama vs Antwerp. na vs Stoke. Tunatakiwa kurekebisha huu upuuzi. Hongera kwa wapenzi wa Manchester United, Liverpool kwa ushindi na kuweza kuangalia Champions League maana mnaimiss(hasa Man United) na mtaimiss msimu ujao. Viva Arsenal. We will bounce back. Remember that.
Cc Nzi, DonDonald, Malafyale
kawaida ya watoto wanapocheza na wakubwa hawadharau mechi...kila mechi wanacheza kama fainali. subiri mkirudiana uone watakavyokuvurugeni. nyie sasa hv elekezeni mawazo yenu kwenye kombe lenu la TOP 4 ili msimu ujao mshiriki tena...kwa hapa hesabu mmeishatolewa tayari. uzuri wa watoto wana uwezo wa kukaba, kulinda, kucounter attack na maguvu wanayo. unadhani wamelala?
Soka ni mpira wa bahati mida fulani.
Kama Manu, hawachezi vizuri lakini kwenye msimamo wapo pazuri kabisa. Walipocheza Manu na Southampton pale St. Mary's, Manu walitawaliwa balaa, walipata 2 shots on target na mechi ikaisha 2-1 kwa Manu.
Kama ndo hivyo presha itaniua
Utani mwengine umezidi muwe mnapigwa ban mwezi mzima sasa Ozil si kaumia hamuoni kama uso haupo hapo? Na bado anacheza kweli jamaa Mkali.
Kama 3-1 na Monaco basi Weupe wa Madrid si ingekua 6 jamani au?
Sasa mechi ijayo si ndo majembe yao yatakuwa yamerudi??
Yoyote atakayepangwa kwao, Arsenal itapita tuu, mtake msitake, huu ndo ukweli!!
nadhani anaumwa ndio maana hakucheza.