truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
kwel hii mech ilibidi ozil aende bench kabla ya dk 45 maana hii game inahitaji misuli na nguvu hlf rosicky aingie na carzola asogee mbele, nimeumia sana ila nitaumia zaidi endapo man u watatutoa FA
Ktk FA tatizo linakuja, benchi la ufundi la Manu tayari wanao mkakati madhubuti sababu wanajua tayari mipango ya wenger na timu ya arsenal itachezaje!
Wenger yuko predictable.