Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu yangu kpenz i knw its late but pokea salamu zangu za dhati za pole!!! Jikaze ndo ukubwa huo
hahahaha
Duuuuuh!!! haya bhana naona mpaka watu mmetoka mafichoni.
By the way hiyo pole ya kinafiki kaa nayo.
 
@ kitoabu acha utani unaokera bana. Unajua danny boy bonge la striker? Anatupia balaa bahati yao Chelsea Jana hakucheza angewapiga tatu..............
 
Nimeuona huo upako kwenye avatar yako umetulia kwenye chupa na glass uki-celebrate ushindi haba wa jana.

Hahahaha!! Haijalishi lakini point 3 tumeondoka nazo,kwanza hivi mi na wewe YNWA tunachekana kweli??
 
@ kitoabu acha utani unaokera bana. Unajua danny boy bonge la striker? Anatupia balaa bahati yao Chelsea Jana hakucheza angewapiga tatu..............
Unajua mkuu Dany boy ni moto wa kuotea mbali, sema jana Checksea wanabahati jamaa hakukasirika lakini lasivyo angeondoka na mpira. Mi nasema Costa na Danny, Danny anajua, we unasemaje?
 
Attempts
on target 0
off target 0

hahahahaha...............

Grand PA
Sasa Danny boy unataka umfananishe na mburukenge gani ktk tim yenu? Sio huyo Costa wako wala Hazard. Danny yuko juu kwasasa, we huoni mechi moja katupia goli 3 ? Tena UCL .
 
Huyu lazy Ozil anazingua kinouma.

Leo Ozil akifika pale mbele anapata kigugumizi cha miguu sijui kwanini

Pia kusema ukweli Nemo anazidi kuwa inconsistent... Anahitaji kukaza kwelikweli, la sivyo hata national team ataisikia kwenye bomba!

...,Ozil apumzishwe aingie Chembo. #COYG .

Kuna umuhimu wa Ozil kupumzika.

Katikati tumepoteana kuna umuhmu wa Ozil kutoka aingie rosiskz au Ox

Wakuu sio siri Ozil ni Goi goi duuh!

Sub ya kijinga sana hii ozil ndiye alipaswa kutoka.

...., midfielders na anaoanao imetugharimu leo.

... Sijui kwanini Wenger hamtoi Ozil

ozil chali kachoka kama katoka kupiga puli.

....Nemo ni kama vile hana morali wa kucheza! Sijui nini kinamsibu huyu jamaa.

...... Ozil hakupaswa kurud kipind cha pili.

Simuelewagi kabisa Wenger, Ozil anapoteza mipira, anaanguka akipigwa kapushi kadogo tu chini, hakabi, yaani sielewi.

2 up gol la kizembe hongera kwa Fabregas.

208053.jpg

"We don't need Cesc Fabregas, when we have Mesut Özil" - Wenger. Hata mie nilikubaliana na Wenger, b'se if you have Ozil and Ramsay, then you may not need Fabregas.

Lakini ukisoma baadhi ya comments za wadau hapo juu, at least for now zinajaribub kuonyesha kuwa Wenger alikuwa hasemi ukweli. Jana Fabregas alikuwa man of the match. Alicover karibu uwanja wote. Pia alituma special delivery kwa Costa. So far keshefanya special delivery 8 in 9 matches.

Fabrages anacheza vizuri akiwa in his favourate position aka Number 10. Siku hizi huwa namwona aki-tackle pia, kitu ambacho alikuwa hafanyi wakati akiwa Arsenal. Kama ilivyo, Ozil, hana speed. Ila ana macho kama ya Ozil. Anaona mbali and in advance kama Ozil. Mapande yake ni mazuri.

Lakini kwa mara nyingine tena Ozil ameshindwa ku-perform in a grand slam match. Alishindwa kuifungua defence ya Chelsea. Hata hivyo, he is such a skilled player. His way of play is beautiful to watch. Lakini sasa najiuliza what went wrong. Anaonekana kama vile hayuko interested in the game. He doesn't look happy to me.

Mara nyingi, Wenger amekuwa akimpanga in wide positions. Some, including me, nadhani he can contribute more to the team kama akicheza pale kati. Acheze kama creative Number 10 with the freedom to roam wherever he wants. Sidhani kama Fabregas angeweza kucheza anavyocheza sasa kama angepangwa in wide positions.

Kama ilivyokuwa msimu uliopita baadhi yetu tumeanza kum-criticize Ozil. Lakini baadhi ya makocha waliowahi kumkochi Ozil kama Mourinho wanasema "I think it's hard to criticize him, because Özil is Özil. If you were expecting Özil to be super aggressive and to be running miles and miles from side to side and to show great enthusiasm and aggressiveness, this is not Mesut. If you are waiting for somebody where every time he touches the ball, the ball smiles. Every time he makes a pass, the ball goes with the right direction, the right speed, the right intensity, this is Özil.

At the same time, I learned with him because we were together for quite a long time, that he's a very sensitive boy. He needs confidence. He needs trust. He needs to feel that people is with him. When he's on the pitch, every time he touches the ball, the ball goes beautiful. And he'll always finds the right man on the right place. So, sometimes, you don't see him, sometimes he doesn't go to screen many, many times. But when he goes he is a special player."

Kama huyo ndo Ozil ambaye Mourinho anamwongelea, anatakiwa acheze position ipi? Katikati au pembeni? Why are we not seeing the Ozil we used to see?
 
Yeah mkuu me mwenyewe nakubliana na wewe kuwa OZIL ni mzuri zaidi akicheza katikati yaan kama namba 10 but to be honest me binafsi nashindwa kuelewa nini kimeenda kombo kwa Mesut kwasababu ukifuatilia hata alipokuwa bernabeu kuna baadhi ya mechi alikuwa anacheza pembeni na alikuwa anacheza vizuri saana, na kwa game ya jana kama ulifuatilia Cazorla alikuwa vizuri sana pale katikati licha ya kwamba Chelsea walicheza katikati vizuri kwa kipindi fulani lakini kwa kiasi kikubwa kwa namna Cazorla alivyocheza alsaidia sana kupunguza idadi ya pasi(zenye madhara) za Fabregas kwenda kwa Costa na hii ni kwasababu kwa kiasi kikubwa Cazorla alisaidia sana Arsenal wamiliki mpira katika upande wa pili wa mpinzani, sas baada ya yeye kutoka na Ozil kushindwa kuimudu mechi hapo ndipo Cesc akapata kupiga the best pass of the match na ilikuwa ni pasi ambayo Cesc aliipiga akiwa katika Half yake lakin ilimkuta muhusika kwa ufasaha.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Pole ni pole tu iwe ya kinafiki au ya dhati, hahaha
Tehtehtehtehtehtehtehteh haya bhana japo kuwa haya mabo ni zamu kwa zamu but me nina asavali ooohhhh! sory nina afadhari maana nina uhakika after international break TeamMburukenge wote mnarudi mafichoni.
 
Mimi na wewe nani mburukenge ?? Rudi uangalie msimamo wa ligi utanipa jibu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Sasa Danny boy unataka umfananishe na mburukenge gani ktk tim yenu? Sio huyo Costa wako wala Hazard. Danny yuko juu kwasasa, we huoni mechi moja katupia goli 3 ? Tena UCL .

hata mesi na Cr7 hawaoni ndani ......... Arse888 wamesajili bonge la sriker. bwahahahaha...........

Grand PA
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkuu EMT mimi kwa maoni yangu Wenger alifanya makosa makubwa sana kumsusa Fabregas na pia kukataa kumpa Bacary Sagna pesa aliyokuwa anaitaka. Mechi ya jana kwa maoni yangu tulistahili kushinda au angalau kutoa draw lakini mara nyingi wachezaji wetu walikuwa wanaonekana kama hawajui wafanye nini wanapoingia kwenye eneo la hatari golini kwa Chelsea pasi zilikuwa nyingi mno na hatimaye kupoteza mpira. Kama timu itaendelea kucheza katika kiwango kama cha jana basi sitashangaa kuona hata katika timu 10 bora za EPL hatumo na hili likitokea hakuna wa kulaumiwa ila ni Wenger na management yote ya Arsenal.
 
Back
Top Bottom