truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
United sio issue kwa Arsenal. Mourinho ndo issue.Kuifunga united je??

Mkuu usiwe na wasi wasi na Gunners ni one of those matches ambazo refa akishapokea ngawira huna la kufanya. Kama umeona mchezo utaona kabisa fujo na mieleka ambayo Chelsick walijiandaa kufanya.. .. .... . Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

![]()
Prof Wenger pushes Morinyo as the two managers, who have had a long-running feud, fought on the pitch
![]()
The scrap between the two managers certainly raised
the atmosphere at Stamford Bridge
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Roma a Bramovick akishangilia baada ya kuona mpunga aliotoa
haukupotea bure ... ..
Refa alikuwa biased na kuwapendelea mafioso, tuko half time tunawasubiri Emiratestutaona kama wataweza kuchomoka tena ..... . ..... . ..COYG.
Kujipanga mpaka Wenger aondoke, na kuifunga Chelsea EPL mpaka eidha Wenger aondoke au Mourinho aondoke.
Sio Chelsick tu big games zote mkuu.
But all in all tujipange zaidi kwa game zijazo.
United sio issue kwa Arsenal. Mourinho ndo issue.
Mkuu usiwe na wasi wasi na Gunners ni one of those matches ambazo refa akishapokea ngawira huna la kufanya. Kama umeona mchezo utaona kabisa fujo na mieleka ambayo Chelsick walijiandaa kufanya.. .. .... . Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Khe khe khe kheeeeee huyu ndiye yule yule rafiki yangu kipenzi asiyenitakia mabaya kwi kwi kwi kwi...Dua la everlenk leo limempata BAK lol!!!! Endelea kuchekelea 🙂🙂
Mkuu usiwe na wasi wasi na Gunners ni one of those matches ambazo refa akishapokea ngawira huna la kufanya. Kama umeona mchezo utaona kabisa fujo na mieleka ambayo Chelsick walijiandaa kufanya.. .. .... . Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
naomba mwenye ufahamu zaidi anijibu,
1)Tatizo la Arsenal kushindwa kumfunga Chelsea.
2) Suluhisho lake kama lipo.
hahaha mourinho auawe labda kwa njia yoyote ile!
Mkuu usiwe na wasi wasi na Gunners ni one of those matches ambazo refa akishapokea ngawira huna la kufanya. Kama umeona mchezo utaona kabisa fujo na mieleka ambayo Chelsick walijiandaa kufanya.. .. .... . Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hongereni kwa ushindi bhana!! Invincible
Hahaha. Mara ya mwisho kuifunga united lin??