Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu usiwe na wasi wasi na Gunners ni one of those matches ambazo refa akishapokea ngawira huna la kufanya. Kama umeona mchezo utaona kabisa fujo na mieleka ambayo Chelsick walijiandaa kufanya.. .. .... . Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wewe endelea kulia tu, huna lolote
 
Majiraniiiiii poleni sana....aisee mna bahati nilikuwa mbali na uwepo wa internet khe khe khe khe kheeeeeeee
 
BAK ujumbe wako nimeupata,harahara tu usije jinyonga siku moja maana mnavyoongoza kwa kujinyonga si mchezo.
 
Attachments

  • 1412712975618.jpg
    1412712975618.jpg
    68.6 KB · Views: 103
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Mie upenzi wa hivi wala sina. Huwa wananiharibia siku katika zile mechi ambazo tulistahili kushinda au angalau kutoa draw. Sinuni kabisa na hili la kujiua lol!!!! Life is too precious everlenk raha zote hizi hapa duniani kisa cha kukatiza haya maraharaha!? 🙂🙂

BAK ujumbe wako nimeupata,harahara tu usije jinyonga siku moja maana mnavyoongoza kwa kujinyonga si mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Mie upenzi wa hivi wala sina. Huwa wananiharibia siku katika zile mechi ambazo tulistahili kushinda au angalau kutoa draw. Sinuni kabisa na hili la kujiua lol!!!! Life is too precious everlenk raha zote hizi hapa duniani kisa cha kukatiza haya maraharaha!? 🙂🙂

......eti?! Starehe za mahanjumati, starehe za MMU, starehe za kuangalia Man U na 'kapu lao la kutekea maji!'....! :coffee:
 
Last edited by a moderator:
​Hahahahaha lol!!!! Starehe zote hizi niziache!! Kisa Gunners tumepoteza mchezo! Hapana Bro Mbu hili la kukatitisha maisha haliingii kabisa akilini.

......eti?! Starehe za mahanjumati, starehe za MMU, starehe za kuangalia Man U na 'kapu lao la kutekea maji!'....! :coffee:
 
Last edited by a moderator:
The gunners.......mnatia huruma sana....yaani week hii kweli ni balaa kwenu.....mmepoteza na chelsea na sasa mmempoteza na ozil kwa week 12 nje.....poleni sana wakuu.
 
Back
Top Bottom