everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Tatizo goons mnapenda sana chenga twawala! Mnataka kupiga chenga hadi golini, kha!
Hawa kwa chenga nawapa A+ tatizo chenga zao hazizai matunda,ila tuache masihara ukitaka uinjoi kandanda safi lenye vionjo angalia mechi za Arsenal.