Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Leo nawasamehe hawa watani wangu wa kambo..wanatia huruma mno.
Last edited by a moderator:
Leo nawasamehe hawa watani wangu wa kambo..wanatia huruma mno.
This is the type of big game where Danny Welbeck will let Arsenal down! Done absolutely nothing.
Wilshere out rosick in
Sijui kwanini Wenger hamtoi Ozil
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Haya bhanaa siku yako leo, chekelea kwa nguvu zako zote na kuturushia madongo.