Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Last edited by a moderator:
2 up gol la kizembe hongera kwa Fabregas.
Karibuni sana #Wasagasumu na #Mburukenge katika jukwaa letu tukufu. Hafungwi mtu leo hiyo mkae mkijua.
Ila siyo siri, goons wamejitahidi sana game ya leo. Maana hadi sasa wamepigwa 2-0; inaonyesha kiasi gani Wenger amefanya maboresho katika timu iliyokula 6-0 msimu wa jana.
Aisee hili ni goli la kizembe balaaa,leo kazi ipo kauli ya mzee wa kelele inaenda kutimia muda si mrefu.
Haya #Wasagasumu na #Mburukenge osheni vinywa vyenu leo, midfielders na anaoanao imetugharimu leo. Tukifika kwenye eneo hatari utadhani hatujui nini kifanyike nimenuna 🙁🙁
Wilshere out rosick in
Sijui kwanini Wenger hamtoi Ozil
ozil chali kachoka kama katoka kupiga puli.
This is the type of big game where Danny Welbeck will let Arsenal down! Done absolutely nothing.
Naomba utengue kauli! Au kubari wewe ni Ndio mburukenge!
.....hahhaha, #TeamMburuKenge wapate nini leo,....
Poleee.....may be you can make it.
This is the type of big game where Danny Welbeck will let Arsenal down! Done absolutely nothing.