Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

​Hahahahaha lol!!!! Starehe zote hizi niziache!! Kisa Gunners tumepoteza mchezo! Hapana Bro Mbu hili la kukatitisha maisha haliingii kabisa akilini.

Mechi ijayo mkishinda utasikia in wenger we trust.
 
Kumbe Gunners tunatisha, tumepoteza mechi moja away basi imekuwa nongwa, msiwe na shaka mambo ndio bado kuanza vijana wanachukua kasi tu . .. ... ... .. ..................................


_78093442_456478570.jpg



Ozil is out for a min of 4 months .. .. .. .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Uwiiii sasa hivi Wenger anamtamanije Fabregas...doh.

Ila in the spirit of sportsmanship namtakia uponaji wa haraka. He is a good player...siwezi muwazia mabaya!!!
 
......eti?! Starehe za mahanjumati, starehe za MMU, starehe za kuangalia Man U na 'kapu lao la kutekea maji!'....! :coffee:

Wewe Mbu bila kuisema Man U husikii raha.......
 

Attachments

  • 1412800206174.jpg
    1412800206174.jpg
    13.3 KB · Views: 282
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana ila usipotee tu pale mambo yatakapoanza kwenda kombo kwa Van Girl kama ilivyokuwa wiki chache zilizopita. Karibu mumtoe roho lol!

Hahahahaha!!! Huwa nakuwepo lakini nakuwa bubu!! Sisi watulivu siyo km ninyi wa kujinyonga ila naona sasa hiv mtahamia kwenye kupiga watu vitasa kama vile kocha wenu.
 
LoL! Kwi kwi kwi kwi kocha wetu mbabe yule Mourinho kidomodomo kimezidi angetiwa adabu ingekuwa poa sana 🙂🙂 huwa una wasiwasi maana timu yenu imebadili jina siku hizi inaitwa Manchester Useless lol!!


Hahahahaha!!! Huwa nakuwepo lakini nakuwa bubu!! Sisi watulivu siyo km ninyi wa kujinyonga ila naona sasa hiv mtahamia kwenye kupiga watu vitasa kama vile kocha wenu.
 
The gunners.......mnatia huruma sana....yaani week hii kweli ni balaa kwenu.....mmepoteza na chelsea na sasa mmempoteza na ozil kwa week 12 nje.....poleni sana wakuu.

Namuombea apone haraka, ila kwa muda huu Ozil anisamehe, sitam-miss. Ndo muda wa Carzola sasa. Sitam-miss kabisaaaaa Ozil.
 
Attempts
on target 0
off target 0

hahahahaha...............

Grand PA

Ebu kuwa fair na huyu kijana, ulitaka afanye kila kitu yeye. Hawezi ibeba timu peke yake, wachezaji wa kumtengenezea hawakufanya hivyo. Hivyo si wa kumbebesha zigo.
 
Wenger Mwenye ungonjwa wa kuanguka ampige Super Mou...?!!! We kweli unaota.


LoL! Kwi kwi kwi kwi kocha wetu mbabe yule Mourinho kidomodomo kimezidi angetiwa adabu ingekuwa poa sana 🙂🙂 huwa una wasiwasi maana timu yenu imebadili jina siku hizi inaitwa Manchester Useless lol!!
 
Back
Top Bottom