Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

to be honest, approach y arsenal kwny timu znazopark bus inabd ibadilike....unless otherwise tutafungwa kila siku
 
hii approach ya mourinho kwetu co ngeni, hata ferguson katubamiza sana kwa mbinu hii....inabd na sisi tuanze kutafuta matokeo tu kwny big games; sio kucheza mpira mwingi ambao hautatusaidia
 
Wakuu mshauona msimamo wa league lakini..
Kwi kwi kwiiiiii kwiiii
Arsenal hipo nafasi ya ngapi vile...kwi kwi kwi kwiiiiii
 
......dadddeki, it's only a game but dahhh?!
Anyway.....tujipange kivingine na hawa Chelski.

Sio Chelsick tu big games zote mkuu.
But all in all tujipange zaidi kwa game zijazo.
 
kwa bahati nzuri nadhan aseno imezoea kufungwa hasa wanapocheza na chelsea so nadhan kichapo walikitegemea
 
to be honest, approach y arsenal kwny timu znazopark bus inabd ibadilike....unless otherwise tutafungwa kila siku
nikuulize mkuu, hivi we mpira umeangalia au umesikiliza redioni?! ..........

Grand PA
 
Khe khe khe kheeeeee huyu ndiye yule yule rafiki yangu kipenzi asiyenitakia mabaya kwi kwi kwi kwi...Dua la everlenk leo limempata BAK lol!!!! Endelea kuchekelea 🙂🙂

Leo una bahati nina upako lasivyo ungekoma....
 
Last edited by a moderator:
7th khe! Khe! Khe! Tumewauzia SHABARANKS Pamoja na 7th khe! khe! khe! WENGER siku iz mpiga ndond? khe! khe! khe! nimekubal maneno ya mpiga kelele wa EPL wenger ni bingwa wa kufel, khe! khe! khe! ARS KARIBU 7TH KHE! KHE! KHE!
 
Back
Top Bottom