Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duuh Obi Kaingia...Sasa basi linapakiwa rasmi...

Chelsea inacheza kama timu ndogo-Pellegrin
 
Hivi goons na striker wao aliye on-fire baada ya kupiga hat trick katika kombe la Bonanza (source: Rockcity native) wana hata shot moja on target kweli?! 🙈🙈🙈
 
Last edited by a moderator:
Ila siyo siri, goons wamejitahidi sana game ya leo. Maana hadi sasa wamepigwa 2-0; inaonyesha kiasi gani Wenger amefanya maboresho katika timu iliyokula 6-0 msimu wa jana.
 
Haya #Wasagasumu na #Mburukenge osheni vinywa vyenu leo, midfielders na anaoanao imetugharimu leo. Tukifika kwenye eneo hatari utadhani hatujui nini kifanyike nimenuna 🙁🙁
 
Back
Top Bottom