Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

......hawa wetu leo, hata kama wametupia kamoja ka kubahatisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usisahau lakini mpira dakika 90, naona umefurahi sana ungekuwa referee ungeshapuliza firimbi kumaliza game lol!!!

Wala hata sijafurahi....nakuombea ushinde,mupenzi wewe tena ukisononeka najua kazi itakuwa kwangu,wewe tu ndo hunipendi unafurahi mabaya kwangu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo goons mnapenda sana chenga twawala! Mnataka kupiga chenga hadi golini, kha!
 
Back
Top Bottom