asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Last edited by a moderator:
Hahaaaa umejuaje???? Yan huyo ndo yuko mawazoni mwangu. Ndo tabu ya kuolewa na bazazi...anakuwa mume wa wote
Hahahahaaaa....mkuu nimecheka sana ila kiukweli hii tabia ya kutag watu af na wengineo duuh
ha ha ha kula na mengine kadhalika subiri ualikwe
Umekaribishwa??
haha hadi nialikwe kwani imegeuka harusi hiyo?? km ni private party basi isingewekwa MMU... hapo hotelini si hilo ni jengo tu la biashara mtu yeyote anaingia kupata huduma km ambavyo wana jf wameamua kwenda kujihudumia... kuhusu mashosti mie shosti yangu mama yangu tu wengine wote ni binadam wenzangu
Matola tafadhali nipatie tarehe ya tukio naona lara 1 amenibania
nI PRIVATE PARTY NA MMU IMEWEKWA! Hoteli kubwa ile TUMEKODI UKUMBI AND WE RESERVE RIGHTS TO ADMISSION :cool2::cool2: We hotelini ingia tu si pesa yako bwanaa ila UKUMBINI SORRY STANDARDS ZIMEZINGATIWAAAA!
nI PRIVATE PARTY NA MMU IMEWEKWA! Hoteli kubwa ile TUMEKODI UKUMBI AND WE RESERVE RIGHTS TO ADMISSION :cool2::cool2: We hotelini ingia tu si pesa yako bwanaa ila UKUMBINI SORRY STANDARDS ZIMEZINGATIWAAAA!
Hhhhhhaaaaa lo leo unanivunja mbavu aisee,hebu mpe mwenzio mwaliko bana lara1
of course i am, unfortunate i can't make itIf interested mcheki mtambuzi!
sio ujeuri bibie ni uanamume bana sometym kuleta pozi
mwanamke umalaya utakutokea puani ,,,,, wote wawili wa kazi gani?( tumia tafsida kwenye majibu yako shemu) lol!
Stand ya wapi?
Ya TA....ila nitafikia kwako.
Unipe taarifa muda wa majibu ukifika......majibu yako utayakuta Jukwaa la Wakubwa......nakusubiri.
Yaani ndo ninapokupendea bi dada.. ukiamua kujirengesha yaani kitu live live jo kujificha....