Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
nna nyota ya feni kazi kuzunguka tu huku raha wanakula wengne
Hahahahaha watu mna maneno?
nna nyota ya feni kazi kuzunguka tu huku raha wanakula wengne
HAHAAAAAAAAAAAA! Mi nishawazoeeea! UZURI MI WANAONIPONDA SHULE HAWANAAA KABISAAA USWAHILI TU NDO WANAUJUA! Hahaaaaaa! Kama wanaweza WAJE WAFANYE ONE TO ONE NA MIE TUSEME SUUUU SIO KUJIFICHA CHINI YA KEYBOARD! Wanakomalia ya watu mbona yao shule hawajaenda hawasemiii? Saivi NAWAPOTEZEA TU!
Mie sugu wewe ningeogopa kusemwa nisingejitokeza ila kwa kujishebeduaaa weeeee! AFU MSIPONIONGELEA NAKOSAGA RAHA WEWE ACHA TU! NIPENI BASI KICK WATU WANI EXPECT KESHO HAPO SERENA MAANA NISHAKUWA MBUI MZEE BILA KICK SIUZIIIII!
Hhhhhhaaaaaaaaaaaaaa
We naweee....ndo nini kujichekesha hivyo kama umezidishiwa chenji...!
HAHAAAAAAAAAAAA! Mi nishawazoeeea! UZURI MI WANAONIPONDA SHULE HAWANAAA KABISAAA USWAHILI TU NDO WANAUJUA! Hahaaaaaa! Kama wanaweza WAJE WAFANYE ONE TO ONE NA MIE TUSEME SUUUU SIO KUJIFICHA CHINI YA KEYBOARD! Wanakomalia ya watu mbona yao shule hawajaenda hawasemiii? Saivi NAWAPOTEZEA TU!
Mie sugu wewe ningeogopa kusemwa nisingejitokeza ila kwa kujishebeduaaa weeeee! AFU MSIPONIONGELEA NAKOSAGA RAHA WEWE ACHA TU! NIPENI BASI KICK WATU WANI EXPECT KESHO HAPO SERENA MAANA NISHAKUWA MBUI MZEE BILA KICK SIUZIIIII!
Ndo ushange PARTY YA 3 HII NAKUJA, BADO NAANDIKA UTUMBO HUMU NDANI, MAJIBU YA KUNYA KAMA KWAIDAAA, NA MTU AKIINGIA ANGA ZANGU NAMPA NA YAKE ALIYOKUWA HAJAYASIKIA! Anasema watu wakati wtu wanamsema shule hana kiherehere tu, point zenyewe hana , maskini ya Mungu hahaaaaaa! Amekalia misuto! Atachangia nini? Hahaaaaaaa!
Watu wanachisahau mie ni MUTOTO YA KINONDONI wakuja hamniweziii! Labda ndugu yangu Maddame B wa kino mwenzangu. NAPENDA KUWA TRENDING HATARIIIII! Hahaaaa! Mie tenaaaaa! Kama party hii NAWAZA NITOKE VIPI!
FYI Mike yule rafki yangu sanaaaa, siwezi kujigonga gonga kwake! Nikitaka nampaaa tu, kwani si MWANAUME yule na yeye, au mnamuonaje? Tunaheshiiana tu! Kama mnamtaka nyie mpeni tu vipapa hivo anakula tu, msaada hauna risiti!
Ha ha ha!!! Umenifanya nivunje mbavu zangu!!.......Kweli wewe Msambaa wa ukwee
Nimezidishiwa chenji eeee acha nifurah maisha mafupii atii mi najua we umealikwaa
Achana nao wasikuumize vichwa....Wa Mjini wenyewe twajuana.
Hao waliokuja na gari za taka wasikukoseshe usingizi babu weeeee.
Party ya 3 hii, watu twanya mbovu jukwaani lakini function zikitokea tupo, ndo wajiulize.
.....haihuuu lara 1.
Waamboe hata usipokuja na mkoko, PO BOX atakuleta.
Habari ndo hiyooo ARE YOU INVITED? Kama haupo invited wewe GALA GALA HUMUUU WEEE, SWAHILIKA KAMA ASILI YAKO ila ndo ujue MANAGEMENT RESERVES THE RIGHT TO ADMISSION! STANDARDS LAZIMA ZIFIKIWE! Hahahaaaaaaaaa!
Dont take it PERSONAL! BLAME YOUR ATTITUDE!
Ya TA....ila nitafikia kwako.
Hahaaaaa! Wamuumize kichwa nani? Thubutuuuuuuuuu! Mbwa ukishamjua jina hawezi kukusumbuaaa asilani! Haaaaaaaaaa! Unafikir sijui wantaka kunidrag down to their level and beat me up through experience, maana hiyo level yao ya BUNCH OF LOOSERS wameizoea wana over 10 yrs of experience HAHAHAHAAAAAA! Jamani WAFU ZIKENI WAFU WENU, MI BADO NIKO HAI!
Kuna ule uzi wao ule wa kujipa kichwa kujificha ndani kama kondo la uzazi, nilicheka tuuuu! Hahaaaaa! Hapa napo hiz attitude zote watu wasije kwenye party tuwaogope wao wafu, wajifichao makaburini nyuma ya keyboard thubutuuuuuuuuuuuu! Attitude zote ndo kwanzaa kuna OVER SUBSCRIPTION! Watu wanazidi kuomba waalikwe!
Sisi wenzao watu wazima, we dont care! Tunakutana na watu mbali mbali, mingle, hivo kila mtu anaende
Ea na business zake, HAINA KUFATILIANA SIJUI FLANI HIVI MARA VILE INAKUHUSU NINI? Kama hutaki kuja fine! Sasa kinachokuuma nini sisi tusiokuhusu tukikutana? Ndo ile mtu anataka hapa MMU atupangie tusihi anavotaka yeye kihio!
ha ha ....team naniii nao mngewainvite .....mambo ya fair play katika jukwaa
Poa tu, bibi yako yupo anakusubiri kwa hamu....!!
Umefurahi?
:amen::amen::amen::amen:Aihuuuuuu......
Wanapanda mnazi kwa msuli huku hawana pichu ndani?
Party ya kwanza manenooooooo.......lakini tukakutana na kufanya yetu.
Party ya pili manenoooooo......lakini tukakutana pia na kufanya yetu vilevile.
Hili movie la tatu sasa,......najua watachongaaaaa lakini mwisho wa siku,....kitu wavuni.
Maneno yao sio Barabara kwamba tutakosa pa kupita.
Dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yao.
Invitation huyo ataiskia kwa wenzake tu....
haa haa mdogo mdogo watu wanapata ujumbe..lolNimechekaje hii thread lol..... nimeishia kugonga likes nilikochekeshwa..
Am Invited....., hadi raha naona November kama mbali vileee