Are you invited?

Are you invited?

Ngoja nianze diet ya Garcinia Cambogia mie.....
Maana hii si ya kukosa.

Madam. Nakuaminia mutu mukubwa wewe! NO BE SMALL SMALL PERSON, anhanhaaaaaaaaaaaaaaaa! MADAMME B! Chinekeeeeeeee! Heeeeeeeeeeey!
 
Last edited by a moderator:
Yeye angewa-tag tu bila kusema na "..wengineo" nani anataka kuwekwa daraja la pili?
Unamuelewa vibaya tu, anaowataja waje lengo ni waje kuamsha amsha tu! Na ili akutaje it means anajua hutokosaaa kuja! Kama mimi ananitajaga nije nimkosoe mara nyingi kuchachua chachua thread! Wala hayupo unavomfikiria!
 
Huyu Mtambuzi atakuwa ni mmoja wa Moderator, wengine wakiweka uzi kama huu utapelekwa chit-chat haraka sana, ila huyu jamaa thread zake huwa zinaishia MMU tu! halafu pia ni mbinafsi sana. Anawa-tag watu wake halafu anasema na.,"..na wengineo" kwani hao aliowa-tag hawapo kwenye hao wengineo?
Are you invited?

Hahahah umenichekesha mkuu usikwazike kama unataka kua invited usiwe na shaka taratibu zote zitafuata na utapata info za kutosha nimeshahudhuria JF PARTY mbili hii itakua ya 3 kikubwa penda sana kuingia MMU mara kwa mara usije pitwa na hii event si ya kukosa kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Unamuelewa vibaya tu, anaowataja waje lengo ni waje kuamsha amsha tu! Na ili akutaje it means anajua hutokosaaa kuja! Kama mimi ananitajaga nije nimkosoe mara nyingi kuchachua chachua thread! Wala hayupo unavomfikiria!

Kama anajua hutokosa kuja kwanini akutaje? halafu thread zote majina ni yaleyale tu.
 
Madam. Nakuaminia mutu mukubwa wewe! NO BE SMALL SMALL PERSON, anhanhaaaaaaaaaaaaaaaa! MADAMME B! Chinekeeeeeeee! Heeeeeeeeeeey!

Hahahahahha.......mie tenaaaaaaaaaaa.
lazima nikisanue siku hiyoooooooooo.
Asiye na mwana abebe mdoli.
Hii si ya kukosaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! + Selfie, patamuje.
 
Hahaha mdaiwa anaonekana anaperuzi na kudadisi nyuzi ila simu not richabo badala yake hasira inashushiwa kwenye uzi. Wakumbushe waende na vibao vimeandikwa mkopo amekufa. Hehehe penye wengi pana mengi ujuee??

"mkopo adui wa biashara" ha ha ha....
 
Hahaaaahaaaaa! Jiwe limerushwa hadharani hapa na ndo nimelidakaaa! NASHUKURU KWA WEMA WA HII PARTY! We kaa ndani tu kama utumbo inahusuuuuu? Hahaaaa! TEAM WAFU ZIKENI WAFU WENU! Halooooo!

lara 1 ungejua niliko usingesema niko ndani kama utumbo. Me nakuwa hapo kwa vipindi maalum tu baada ya hapo napotea...by the way hivi tukio ni tarehe ngapi vile?? natafuta mtu (wa jinsia ya kike) wa kumpa ofa ya dinner usiku huo. wanawake lazima tupendane bwana.
 
Last edited by a moderator:
cc lara 1 aalikwe huyu nimemuombea tu usiwaze far

lara 1 ungejua niliko usingesema niko ndani kama utumbo. Me nakuwa hapo kwa vipindi maalum tu baada ya hapo napotea...by the way hivi tukio ni tarehe ngapi vile?? natafuta mtu (wa jinsia ya kike) wa kumpa ofa ya dinner usiku huo. wanawake lazima tupendane bwana.
Hahaaaaaaaa!!!! Kweli mie sijui ulipo sio uongo, manake nikijitia najua utakuwa uongo! Tarehe ndo mpaka uwe INVITED tenaaa! Hahaaaaa! Offer jamani wewe si una mashosti kibao humuuu? Au ndo hawana vigezo vya hio ofa? Maana ungekuwa mgeni kweli, ila ndo hivo kama Vasco da gama mara upo mara haupo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom