Are you invited?

Are you invited?

Huyu ni babu yangu....nina uhuru wa kwenda kwake 24hrs.....lol!!!!!
we naweeee

shauri yako utaita babu wakati kitu kimezamiamo sasa huku unaskia utamu huku unamuita babu
 
nasubiri kuingia kwa mgongo wako

Akhuuuuuu......
we si umenichamba kuwa sijaalikwa, sasa ndo utashangaa picha ikija afu mie nipo na bonge la tabasamu katikati ya msitu.
 
Akhuuuuuu......
we si umenichamba kuwa sijaalikwa, sasa ndo utashangaa picha ikija afu mie nipo na bonge la tabasamu katikati ya msitu.

nitahakikisha cku hyo hutoki ntakua nawe the whole day ni kazi tu kwa kwenda mbele ngoja nkasake glide
 
Yatakuwa yale yale ya escape oooh Lara anajifanya m'cute kumbe rangi ya pepsi ata pamba hajui mara alikuwa anajigonga kwa Mick mushi, mara so and so kaja na bodaboda .....Tusisikie tena huo uswahili this time mkimaliza kigodoro chenu
 
Hhhhhhaaaaaaaaaaaaaa
 
HAHAAAAAAAAAAAA! Mi nishawazoeeea! UZURI MI WANAONIPONDA SHULE HAWANAAA KABISAAA USWAHILI TU NDO WANAUJUA! Hahaaaaaa! Kama wanaweza WAJE WAFANYE ONE TO ONE NA MIE TUSEME SUUUU SIO KUJIFICHA CHINI YA KEYBOARD! Wanakomalia ya watu mbona yao shule hawajaenda hawasemiii? Saivi NAWAPOTEZEA TU!

Mie sugu wewe ningeogopa kusemwa nisingejitokeza ila kwa kujishebeduaaa weeeee! AFU MSIPONIONGELEA NAKOSAGA RAHA WEWE ACHA TU! NIPENI BASI KICK WATU WANI EXPECT KESHO HAPO SERENA MAANA NISHAKUWA MBUI MZEE BILA KICK SIUZIIIII!

Ndo ushange PARTY YA 3 HII NAKUJA, BADO NAANDIKA UTUMBO HUMU NDANI, MAJIBU YA KUNYA KAMA KWAIDAAA, NA MTU AKIINGIA ANGA ZANGU NAMPA NA YAKE ALIYOKUWA HAJAYASIKIA! Anasema watu wakati wtu wanamsema shule hana kiherehere tu, point zenyewe hana , maskini ya Mungu hahaaaaaa! Amekalia misuto! Atachangia nini? Hahaaaaaaa!

Watu wanachisahau mie ni MUTOTO YA KINONDONI wakuja hamniweziii! Labda ndugu yangu Maddame B wa kino mwenzangu. NAPENDA KUWA TRENDING HATARIIIII! Hahaaaa! Mie tenaaaaa! Kama party hii NAWAZA NITOKE VIPI!

FYI Mike yule rafki yangu sanaaaa, siwezi kujigonga gonga kwake! Nikitaka nampaaa tu, kwani si MWANAUME yule na yeye, au mnamuonaje? Tunaheshiiana tu! Kama mnamtaka nyie mpeni tu vipapa hivo anakula tu, msaada hauna risiti!
 
Last edited by a moderator:
Akhuuuuuu......
we si umenichamba kuwa sijaalikwa, sasa ndo utashangaa picha ikija afu mie nipo na bonge la tabasamu katikati ya msitu.

Maaa nyoko.

Nakuuliza tena,
ARE YOU INVITED???
.....Au una nyota ya beberu, kila upitapo unatuachia vumba?

ARE YOU INVITED???
Au unang'aa sharubu jukwaani tu hapa utadhani brush ya chachandu.

Ha ha ha!!! Umenifanya nivunje mbavu zangu!!.......Kweli wewe Msambaa wa ukwee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom