Costa concodia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 209
- 48
Yupo mwenyewe kajaa teleeeee! Kastaafu tu kuwa vere aktivu
Multiple ID's tu.

Hahaaaaaaaa!!!! Kweli mie sijui ulipo sio uongo, manake nikijitia najua utakuwa uongo! Tarehe ndo mpaka uwe INVITED tenaaa! Hahaaaaa! Offer jamani wewe si una mashosti kibao humuuu? Au ndo hawana vigezo vya hio ofa? Maana ungekuwa mgeni kweli, ila ndo hivo kama Vasco da gama mara upo mara haupo!
Multiple ID's tu.
Ngoja nianze diet ya Garcinia Cambogia mie.....
Maana hii si ya kukosa.
pachaa mbona kama swali la kichokozi hili tumefikia hapo ha ha ha ha
cc Madame B
ha ha ha ha
pachaaaaa sijaona makeke yenu muda mrefu sana.
kwan umealikwa
ha ha ha ha
pachaaaaa sijaona makeke yenu muda mrefu sana.
Hahaaaaaaaa!!!! Kweli mie sijui ulipo sio uongo, manake nikijitia najua utakuwa uongo! Tarehe ndo mpaka uwe INVITED tenaaa! Hahaaaaa! Offer jamani wewe si una mashosti kibao humuuu? Au ndo hawana vigezo vya hio ofa? Maana ungekuwa mgeni kweli, ila ndo hivo kama Vasco da gama mara upo mara haupo!
he tumeongezeka
pachaa mbona kama swali la kichokozi hili tumefikia hapo ha ha ha ha
cc Madame B
kwa sababu wewe jeuri sana
haa haa kuzaliwa mjini form six unafikiri bila mchepuko hili lijipati atanilipia nani?Hahaaaaa! We si juzi hapa ulikuwa unaposwa na KAKA KIZA? Maisha haya kaka kiza anaimbisha kazier anapewa mzigo! Naona K na Z unapatana nazo sanaaa!
ha ha ha ha bado tupo ila nashangaa kawa invited hata hajanistua cjui anataka kwenda na nani